Huwa hatujishughulishi na idadi ya mechi kwa maana km mchezaj ameshindwa kumfikia mwenzie et kisa amecheza mechi chache it's none of our business huwez kuniambia et pele amemzd maradona makombe ya dunia kwa kuwa pele alicheza michuano mingi ila maradona km na yy angecheza michuano mingi angemfikia huu ni ukosefu wa hoja mzee kwani kuhusu suala la ufungaji ipo wazi cr7 yupo juu ya Messi na co Messi tu ata Pele mwnyw hafikii ule mziki angalia idadi ya mechi alizocheza pale madrid na goli alizofunga ndo utajua kwmb suala la mchezaj kuwa na goli nyng halihusiani sn na idadi ya mechi but point yko ya mwisho ndo yenye mashiko kwmb Ronaldo abaki kuwa Ronaldo na Messi abaki kuwa Messi full stop