Cristiano Ronaldo afikisha magoli 700, sasa kutoka CR7 hadi, rekodi yake inaendelea kutisha

Ukiambiwa Ronaldo co binadam wa kawaida uwe unaelewa msikilize Messi apo[emoji116][emoji116]

Wachezaji wakubwa the legendaries hawana kawaida ya kukandiana pale mmoja anapoulizwa kuhusu mpinzani wake. We have to learn something from them
 
Ronaldo kamzifi messi kila kitu kuanzia
Hela
Umri
Watoto
Mechi
Magoli
Timu alizocheza
Messi alichomzidi ronaldo ni mzuzu tu

Ronaldo kamzidi Messi kwa Umalaya na Kubaka wanawake pia
 
Wachezaji wakubwa the legendaries hawana kawaida ya kukandiana pale mmoja anapoulizwa kuhusu mpinzani wake. We have to learn something from them
Achana na habari za kusifia ww angalia af uone utofauti mkuu
 
Pele afikii vp akati ndo yuko juu kwa mabao na we mwenywe umesema atuangalii vigezo vya idadi ya mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…