Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Sio doumbia huyo mzeeKama vipi mabeki wa Uarabuni wamkazie asifikishe hayo magoli yake 1000 anayotaka kuyafikia, halafu tuone kama atastaafu.
Kwa msimu huu hafiki izo goli labda asogeze mbele kustafuKama vipi mabeki wa Uarabuni wamkazie asifikishe hayo magoli yake 1000 anayotaka kuyafikia, halafu tuone kama atastaafu.
Naomba hili battle tuwekeane dau mezani me ronaldo anafikisha goal buku wewe hafikishi 😅Kwa msimu huu hafiki izo goli labda asogeze mbele kustafu
Labda matefa wambebe wawe wanampa penalty za bureNaomba hili battle tuwekeane dau mezani me ronaldo anafikisha goal buku wewe hafikishi 😅