Aisee, una uhakika na ulichoandika..?? Umekisoma tena vizuri kabla ya kupost…?? Kama huo ndio MTAZAMO WAKO, basi uelewa wako ni mdogo sana.
Sitaki kusema kwamba ELIMU SIO MUHIMU, hapana, ila ninachotaka kukujulisha ni kwamba WAPO WENGI SANA WAMETOBOA BILA ELIMU, na wana pesa hatari….!!!!
Elimu ni MUHIMU, lakini it is not guaranteed kwamba ili utoboe, lazima uwe na elimu. Ndo maana kuna MAPROFESA KIBAO TU HAWANA HELA, ila wana elimu.
Ikitokea unavyo vyote, elimu na pesa, unakuwa BLESSED sana. Ila kimoja kinaweza kutokea bila kingine. Namaanisha unaweza ukawa na elimu ila huna pesa, na unaweza ukawa na pesa ila huna elimu.