Cristiano Ronaldo ameharibu tena, awasababishia madhila makubwa timu ya juventus hii haikubaliki

Ila we jamaa ni mnafiki Sana..Hilo sakata la juve wala halipo hivyo unavyoliongelea acha uongo..
 
Kama hamnaga uelewa wa mambo muwe mnatulia kwanza..
Masuala ya pesa za usajili wanahusika wanasheria ... wachezaji huwa hawahusiki...na wala hawapewi lawama...majadiliano ni mawakala na wanasheria....
Well said, huyu jamaa ana chuki binafsi na Ronaldo, anaongea uongo uongo tu sijui anapata nini asee
 
Mkuu hii habari ya kusema Ronaldo ndio kaiponza juventus umeitolea wapi mwenzetu?

Na kama hutojali unaweza kutujuza hasa Ronaldo anahusikaje hapo hadi kupelekea vibibi vya Turin kupolwa points 15?

Kwa ambavyo wenzio tunajua kutoka katika vyanzo vya habari inchini Italia vinasema kuwa juventus kapolwa points kutokana na sababu zifatazo

1.kukiuka sababu za Sheria za manunuzi na mauzo ya wachezaji, mfano wamenunua mchezaji 50£ wao wanasema ni 15£ ili kuokoa pesa kwenye makato

2.utaratibu usiofata Sheria katika kubadirishana wachezaji (players swapping) mfano mabadirishano ya mchezaji Arthur pamoja na Miralem Pjanic

3.udanganyifu katika mishahara ya wachezaji, mfano mchezaji analipwa 4M wao wanasema 2M hiyo yote kukwepa Kodi

4.kujiuzuru kwa viongozi wakubwa katika ngazi ya utawala hasa kipindi kile cha Corona na hiyo ni baada ya kuanza kufatiliwa

Katika hizo sababu 4 hakuna ata sehemu moja ambayo imemgusa Ronaldo moja kwa moja, kama hutojali hebu tupe sababu za kumuhusisha Ronaldo na kukatwa kwa points juventus inawezekana mwenzetu unazo za Ndaaaani kabisa

Kwa kumalizia tu hivi unaweza nijuza pia Ronaldo aliondoka ameharibu nini pale Real Madrid?
 
Juve ilishatokea wakashushwa daraja, msimu uliofuata wakapanda, hizi kashfa zinawaandama sana...
 
Hakika wanafiki, waongo, wafitini wote wataogelea katika ziwa liwakalo Moto..we jamaa acha uongo na unafiki, issue ya juve haiko hivyo unavyoiongelea
 
Huwez kupata pesa bila elimu hyo haipo... Inaweza kuwa sio direct na ikawa indirect , elimu ndo kila kitu

Aisee, una uhakika na ulichoandika..?? Umekisoma tena vizuri kabla ya kupost…?? Kama huo ndio MTAZAMO WAKO, basi uelewa wako ni mdogo sana.

Sitaki kusema kwamba ELIMU SIO MUHIMU, hapana, ila ninachotaka kukujulisha ni kwamba WAPO WENGI SANA WAMETOBOA BILA ELIMU, na wana pesa hatari….!!!!

Elimu ni MUHIMU, lakini it is not guaranteed kwamba ili utoboe, lazima uwe na elimu. Ndo maana kuna MAPROFESA KIBAO TU HAWANA HELA, ila wana elimu.

Ikitokea unavyo vyote, elimu na pesa, unakuwa BLESSED sana. Ila kimoja kinaweza kutokea bila kingine. Namaanisha unaweza ukawa na elimu ila huna pesa, na unaweza ukawa na pesa ila huna elimu.
 
Kutokuwa kwako na akili ucdhani hao hawana,Taifa ukiliona limeendelea ujue wazi watu wake wana akil
Warabu Wana pesa chafu Sana hao jamaa , sema elimu hawana na hawajui wazipeleke wapi...warabu wa Dubai na vile vijamaa vya Qatar ndo kidog akili ziko Sawa
 
Ronaldo ndie alielipa??
 
Na ni rahisi kupata pesa bila elimu ila sio rahisi kupata elimu bila pesa.
 
Kuna wenye elimu ndo wanazitengeneza wao Ni owner of land ambayo ndani yake wenye elimu wanaopoa wao wanapata mgao
Tena mgao unaowafaidiaha sio huku kwetu bara la giza
 

Wewe ndio ndundule wa mwisho
Ss ttzo hapo ni CR7 au Kibibi kizee cha Turin kilichodanganya.........
Muwe mnafikiria ku2mia kichwa sio na....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…