ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Heshima ni pesaHana tena heshima like any other normal footballer
Hajashinda kila kitu maana haja shinda kombe la duniaCR7 ameshinda kila kitu kwenye soka, kwasasa anaimarisha utajiri wake bila kutumia mabavu.
Kwasasa anafanya kitu anacho kipenda bila presha kubwa.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Anamhurumia billionaire!!!!!Huo muda wa kumfuatikia Ronaldo aliyekuzidi kila kitu bora uwekeze katika kujinasua katika umasikini wa mali na kifikra.
Kikubwa pesa kwa Umri wake sio wamapenzi tena ni kukusanya hela nyingi iwezakanavyo kwaajili ya akistaafu aendelee kuishi kama mfalmeUko mashariki ya kati Ronaldo anachezeshwa mashindano yasioleweka mashindano
Ukimuangalia Ronaldo anaonyesha kabisa hapendi kucheza mashindano hayo ila sasa ameshakula vya watu atafanyaje
Haya mashindano ni kama cecafa au mapunduzi cup hadi timu za somalia zinaitwa kushiriki
Nilikuwa namcheki Ronaldo kimtindo anaona noma sema fresh
Jamaa hadi sura imebadilika imekomaa balaa baada ya kwenda uarabuni
Kitu cha ajabu mashabiki hawajazi viwanja yaani uwanja unakuwa nusu hauna watu pmj na jina la Ronaldo kuwa lipo uwanjani
Kweli messi aliona mbali kuwakimbia waarabu.
USA kila mech masta wnahudhuri game za messi
Messi kawa kijana kule USA yaani ule uzee wa PSG haunekani tena! Kweli USA haimkatai ntu
Huwezi kufananisha ligi ya US na Saudi ,duniani MLS ni ya 16 hata wachezaji wanaocheza ile ligi wengi wao wametoka kwenye mataifa yenye viwango bora vya FIFA na ishatoa wachezaji wengi kwenda ligi kubwa za ulaya.ACHA KULINGANISHA LIGI YA SAUDI NA MAMBO YA KIPUUZI. Hivi MLS kuna wachezaji? messi anacheza na wafu.
Eti kakomaa baada ya kwenda uarabuni😁😁😁...Uko mashariki ya kati Ronaldo anachezeshwa mashindano yasioleweka mashindano
Ukimuangalia Ronaldo anaonyesha kabisa hapendi kucheza mashindano hayo ila sasa ameshakula vya watu atafanyaje
Haya mashindano ni kama cecafa au mapunduzi cup hadi timu za somalia zinaitwa kushiriki
Nilikuwa namcheki Ronaldo kimtindo anaona noma sema fresh
Jamaa hadi sura imebadilika imekomaa balaa baada ya kwenda uarabuni
Kitu cha ajabu mashabiki hawajazi viwanja yaani uwanja unakuwa nusu hauna watu pmj na jina la Ronaldo kuwa lipo uwanjani
Kweli messi aliona mbali kuwakimbia waarabu.
USA kila mech masta wnahudhuri game za messi
Messi kawa kijana kule USA yaani ule uzee wa PSG haunekani tena! Kweli USA haimkatai ntu
Huwezi kufananisha ligi ya US na Saudi ,duniani MLS ni ya 16 hata wachezaji wanaocheza ile ligi wengi wao wametoka kwenye mataifa yenye viwango bora vya FIFA na ishatoa wachezaji wengi kwenda ligi kubwa za ulaya.
Ronaldo yupo pale kuibrand ligi yao,ila kwa ubora MLS kaizidi parefu sana, ligi ya Saudi.Football League Rankings | Analysis of Top Football Leagues
Discover comprehensive rankings of football/soccer leagues worldwide. Analyze league strength, performance, and consistency with our global league rankings.www.globalfootballrankings.com
yani nimwsoma kichwa cha habari tu, nimekuunga mkonoUko mashariki ya kati Ronaldo anachezeshwa mashindano yasioleweka mashindano
Ukimuangalia Ronaldo anaonyesha kabisa hapendi kucheza mashindano hayo ila sasa ameshakula vya watu atafanyaje
Haya mashindano ni kama cecafa au mapunduzi cup hadi timu za somalia zinaitwa kushiriki
Nilikuwa namcheki Ronaldo kimtindo anaona noma sema fresh
Jamaa hadi sura imebadilika imekomaa balaa baada ya kwenda uarabuni
Kitu cha ajabu mashabiki hawajazi viwanja yaani uwanja unakuwa nusu hauna watu pmj na jina la Ronaldo kuwa lipo uwanjani
Kweli messi aliona mbali kuwakimbia waarabu.
USA kila mech masta wnahudhuri game za messi
Messi kawa kijana kule USA yaani ule uzee wa PSG haunekani tena! Kweli USA haimkatai ntu
Sasa mimi na wewe na mpuuzi?Sometimes unabidi ufiche ujinga wako,sasa hao waliopanga hizo rank na ww nani anajua.acha kuongea upuuzi ndugu. ligi mpaka wachezaji wakibongo unakuta halafu unataka kuipaisha.
Ronaldo
Mahrez
Benzema
Mane
siendelei mbele hao tu wanatosheleza kuifanya ligi ya Saudi kuwa ni kubwa sana kulinganisha na MLS
alafu unalinganisha na ligi ambayo Carlos Vela ni Super star
ACHA KULINGANISHA LIGI YA SAUDI NA MAMBO YA KIPUUZI. Hivi MLS kuna wachezaji? messi anacheza na wafu.
Sasa mimi na wewe na mpuuzi?Sometimes unabidi ufiche ujinga wako,sasa hao waliopanga hizo rank na ww nani anajua.
Ligi ya MLS,wamejaa wachezaji kutoka Latin America kibao (Argentina, Uruguay, Brazil, Mexico, Paraguay, Chile,Colombia) ,hizo nchi nilizo zitaja hapo ,ligi zao ni bora kuliko Saudi.
Wewe ligi ya Saudi imetoa mchezaji gani kwenda kucheza ulaya.Ligi yenyewe mbovu, hata hizo timu wanazo cheza nazo mbovu.
Ronaldo yupo pale kupromote ligi yao atleast ingie hata kwenye 50 bora ,ila bado sana na unaweza ukakuta hata ligi ya Misri ni bora kuliko ya Saudi.
Eti kakomaa baada ya kwenda uarabuni[emoji16][emoji16][emoji16]...
💯🤝USA kila mech masta wnahudhuri game za messi
Messi kawa kijana kule USA yaani ule uzee wa PSG haunekani tena! Kweli USA haimkatai
Wewe utakuwa mpuuzi MLS wamecheza kina pele
MLS ni ligi bora mfumo wake tu ndio sio mzuri
Sasa mimi na wewe na mpuuzi?Sometimes unabidi ufiche ujinga wako,sasa hao waliopanga hizo rank na ww nani anajua.
Ligi ya MLS,wamejaa wachezaji kutoka Latin America kibao (Argentina, Uruguay, Brazil, Mexico, Paraguay, Chile,Colombia) ,hizo nchi nilizo zitaja hapo ,ligi zao ni bora kuliko Saudi.
Wewe ligi ya Saudi imetoa mchezaji gani kwenda kucheza ulaya.Ligi yenyewe mbovu, hata hizo timu wanazo cheza nazo mbovu.
Ronaldo yupo pale kupromote ligi yao atleast ingie hata kwenye 50 bora ,ila bado sana na unaweza ukakuta hata ligi ya Misri ni bora kuliko ya Saudi.
Kule uarabun ningekua mm ronaldo nisingecheza
Acha mihemko ndugu, Hao wachezaji wa Latin america wote first quality wanatimkia kucheza top 5 league za europe, Second quality wanatimkia ulaya kucheza ligi nyengine, third quality wanatimkia asia kucheza nchi za far East na uarabuni, fourth quality wanatimkia kucheza ligi za Argenina na Brazil. Hao wanaokwenda kucheza MLS ni wale wa fungu la mwisho kabisa.
Ungetutajia wachezaji wawili wa Brazil na Argentina wanaocheza national