Nishajua na bishana na mtu wa aina gani, haya msome huyo.Sasa mpaka rank unabisha nazo, sizani kama ninaweza kubishana na ww.
View attachment 2711429
Kila kitu bila kuchukua world cup ni ufalaCR7 ameshinda kila kitu kwenye soka, kwasasa anaimarisha utajiri wake bila kutumia mabavu.
Kwasasa anafanya kitu anacho kipenda bila presha kubwa.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hivi,ukicheza ndondo hapo kijijini kwenu wanakulipa senti ngapi?Uko mashariki ya kati Ronaldo anachezeshwa mashindano yasioleweka mashindano
Ukimuangalia Ronaldo anaonyesha kabisa hapendi kucheza mashindano hayo ila sasa ameshakula vya watu atafanyaje
Haya mashindano ni kama cecafa au mapunduzi cup hadi timu za somalia zinaitwa kushiriki
Nilikuwa namcheki Ronaldo kimtindo anaona noma sema fresh
Jamaa hadi sura imebadilika imekomaa balaa baada ya kwenda uarabuni
Kitu cha ajabu mashabiki hawajazi viwanja yaani uwanja unakuwa nusu hauna watu pmj na jina la Ronaldo kuwa lipo uwanjani
Kweli messi aliona mbali kuwakimbia waarabu.
USA kila mech masta wnahudhuri game za messi
Messi kawa kijana kule USA yaani ule uzee wa PSG haunekani tena! Kweli USA haimkatai ntu
Kwani huyo sio wa Argentina? Brazil na MLS ligi ya Brazil ni bora so hata selection itabase sana kwa wachezaji wao wa ndani na wa ulaya. Ila nchi nyingi za Latin America kwenye national team huwezi kukosa mchezaji kutoka MLS.mbona mmoja mkuu?
Aisee kwenye ranking ligi ya waarabu imepitwa hata na ya South AfricaSasa mimi na wewe na mpuuzi?Sometimes unabidi ufiche ujinga wako,sasa hao waliopanga hizo rank na ww nani anajua.
Ligi ya MLS,wamejaa wachezaji kutoka Latin America kibao (Argentina, Uruguay, Brazil, Mexico, Paraguay, Chile,Colombia) ,hizo nchi nilizo zitaja hapo ,ligi zao ni bora kuliko Saudi.
Wewe ligi ya Saudi imetoa mchezaji gani kwenda kucheza ulaya.Ligi yenyewe mbovu, hata hizo timu wanazo cheza nazo mbovu.
Ronaldo yupo pale kupromote ligi yao atleast ingie hata kwenye 50 bora ,ila bado sana na unaweza ukakuta hata ligi ya Misri ni bora kuliko ya Saudi.
Jamaa anataka tubishane.Aisee kwenye ranking ligi ya waarabu imepitwa hata na ya South Africa
We ni mbishi kiasili,sasa unabishana na takwimu za uefaAcha mihemko ndugu, Hao wachezaji wa Latin america wote first quality wanatimkia kucheza top 5 league za europe, Second quality wanatimkia ulaya kucheza ligi nyengine, third quality wanatimkia asia kucheza nchi za far East na uarabuni, fourth quality wanatimkia kucheza ligi za Argenina na Brazil. Hao wanaokwenda kucheza MLS ni wale wa fungu la mwisho kabisa.
Ungetutajia wachezaji wawili wa Brazil na Argentina wanaocheza national team zao huku wakicheza MLS.
Cr7 ameshinda kila kitu?CR7 ameshinda kila kitu kwenye soka, kwasasa anaimarisha utajiri wake bila kutumia mabavu.
Kwasasa anafanya kitu anacho kipenda bila presha kubwa.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Yikpe alipotoka Bongo,alipata Kwanza timu Saudia,sijui akaishia wapi,wachezaji wengi wa Africa wanazamia uarabuni,kina Okwi,Mikson ,lakini kupata timu USA huwezi kusikia maana ni ngumu.Jamaa anataka tubishane.
We ni mbishi kiasili,sasa unabishana na takwimu za uefa
Yikpe alipotoka Bongo,alipata Kwanza timu Saudia,sijui akaishia wapi,wachezaji wengi wa Africa wanazamia uarabuni,kina Okwi,Mikson ,lakini kupata timu USA huwezi kusikia maana ni ngumu.
Aisee kwenye ranking ligi ya waarabu imepitwa hata na ya South Africa
Kwani huyo sio wa Argentina? Brazil na MLS ligi ya Brazil ni bora so hata selection itabase sana kwa wachezaji wao wa ndani na wa ulaya. Ila nchi nyingi za Latin America kwenye national team huwezi kukosa mchezaji kutoka MLS.
Kuanzia Mexico, Chile,Argentina, Uruguay, Paraguay nk wana wachezaji kibao MLS na wapo kwenye national team. Hata kama hutaki ila MLS na ligi ya huko urabuni ni ardhi na mbingu.
Hapo bado kuna lundo la wachezaji kibao wametoka MLS na wanasajiliwa kwenye ligi kubwa za ulaya ,karibia kila msimu.
Hajashinda world cup ya vijana,na hajashinda world cup BIG TOURNAMENT in life of footballCR7 ameshinda kila kitu kwenye soka, kwasasa anaimarisha utajiri wake bila kutumia mabavu.
Kwasasa anafanya kitu anacho kipenda bila presha kubwa.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Duh!Nimeamini Marekani kiboko, Messi kawa mtoto kabisa ,mtoto wake Mateo arudi nyuma
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app