Cristiano Ronaldo anacheza ndondo huko Uarabuni kweli pesa nwanaharamu

Cristiano Ronaldo anacheza ndondo huko Uarabuni kweli pesa nwanaharamu

Uko mashariki ya kati Ronaldo anachezeshwa mashindano yasioleweka mashindano

Ukimuangalia Ronaldo anaonyesha kabisa hapendi kucheza mashindano hayo ila sasa ameshakula vya watu atafanyaje

Haya mashindano ni kama cecafa au mapunduzi cup hadi timu za somalia zinaitwa kushiriki

Nilikuwa namcheki Ronaldo kimtindo anaona noma sema fresh

Jamaa hadi sura imebadilika imekomaa balaa baada ya kwenda uarabuni

Kitu cha ajabu mashabiki hawajazi viwanja yaani uwanja unakuwa nusu hauna watu pmj na jina la Ronaldo kuwa lipo uwanjani

Kweli messi aliona mbali kuwakimbia waarabu.

USA kila mech masta wnahudhuri game za messi
Messi kawa kijana kule USA yaani ule uzee wa PSG haunekani tena! Kweli USA haimkatai ntu
Hivi,ukicheza ndondo hapo kijijini kwenu wanakulipa senti ngapi?
 
mbona mmoja mkuu?
Kwani huyo sio wa Argentina? Brazil na MLS ligi ya Brazil ni bora so hata selection itabase sana kwa wachezaji wao wa ndani na wa ulaya. Ila nchi nyingi za Latin America kwenye national team huwezi kukosa mchezaji kutoka MLS.

Kuanzia Mexico, Chile,Argentina, Uruguay, Paraguay nk wana wachezaji kibao MLS na wapo kwenye national team. Hata kama hutaki ila MLS na ligi ya huko urabuni ni ardhi na mbingu.

Hapo bado kuna lundo la wachezaji kibao wametoka MLS na wanasajiliwa kwenye ligi kubwa za ulaya ,karibia kila msimu.
 
Sasa mimi na wewe na mpuuzi?Sometimes unabidi ufiche ujinga wako,sasa hao waliopanga hizo rank na ww nani anajua.

Ligi ya MLS,wamejaa wachezaji kutoka Latin America kibao (Argentina, Uruguay, Brazil, Mexico, Paraguay, Chile,Colombia) ,hizo nchi nilizo zitaja hapo ,ligi zao ni bora kuliko Saudi.

Wewe ligi ya Saudi imetoa mchezaji gani kwenda kucheza ulaya.Ligi yenyewe mbovu, hata hizo timu wanazo cheza nazo mbovu.

Ronaldo yupo pale kupromote ligi yao atleast ingie hata kwenye 50 bora ,ila bado sana na unaweza ukakuta hata ligi ya Misri ni bora kuliko ya Saudi.
Aisee kwenye ranking ligi ya waarabu imepitwa hata na ya South Africa
 
Acha mihemko ndugu, Hao wachezaji wa Latin america wote first quality wanatimkia kucheza top 5 league za europe, Second quality wanatimkia ulaya kucheza ligi nyengine, third quality wanatimkia asia kucheza nchi za far East na uarabuni, fourth quality wanatimkia kucheza ligi za Argenina na Brazil. Hao wanaokwenda kucheza MLS ni wale wa fungu la mwisho kabisa.
Ungetutajia wachezaji wawili wa Brazil na Argentina wanaocheza national team zao huku wakicheza MLS.
We ni mbishi kiasili,sasa unabishana na takwimu za uefa
 
Jamaa anataka tubishane.
Yikpe alipotoka Bongo,alipata Kwanza timu Saudia,sijui akaishia wapi,wachezaji wengi wa Africa wanazamia uarabuni,kina Okwi,Mikson ,lakini kupata timu USA huwezi kusikia maana ni ngumu.
 
Yikpe alipotoka Bongo,alipata Kwanza timu Saudia,sijui akaishia wapi,wachezaji wengi wa Africa wanazamia uarabuni,kina Okwi,Mikson ,lakini kupata timu USA huwezi kusikia maana ni ngumu.

hivi hujui kama kuna mbongo anacheza MLS? nitaftie mmoja anaecheza Saudi
 
Aisee kwenye ranking ligi ya waarabu imepitwa hata na ya South Africa

hata Belgium huwa hashuki top 3 ya top national timu, na kila mashindano yanapo kuja huwenda kutia aibu. Kwahiyo hizo rank haziwezi kiwa kipimo halisi cha ubora.
 
Kwani huyo sio wa Argentina? Brazil na MLS ligi ya Brazil ni bora so hata selection itabase sana kwa wachezaji wao wa ndani na wa ulaya. Ila nchi nyingi za Latin America kwenye national team huwezi kukosa mchezaji kutoka MLS.

Kuanzia Mexico, Chile,Argentina, Uruguay, Paraguay nk wana wachezaji kibao MLS na wapo kwenye national team. Hata kama hutaki ila MLS na ligi ya huko urabuni ni ardhi na mbingu.

Hapo bado kuna lundo la wachezaji kibao wametoka MLS na wanasajiliwa kwenye ligi kubwa za ulaya ,karibia kila msimu.

Na Saudi wanasasajili wachezaji kutoka Ulaya. Hata wazungu wamekuwa wakikosa usingizi.
 
CR7 ameshinda kila kitu kwenye soka, kwasasa anaimarisha utajiri wake bila kutumia mabavu.
Kwasasa anafanya kitu anacho kipenda bila presha kubwa.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hajashinda world cup ya vijana,na hajashinda world cup BIG TOURNAMENT in life of football
 
Ukute bando uliliotumia kuandika huu upupu ni la songesha halafu una uthubutu wa kumsema mtu ambae hata mfanyakazi wake wa kusafisha choo humfikii kwa chochote.
 
Back
Top Bottom