Cristiano Ronaldo anacheza ndondo huko Uarabuni kweli pesa nwanaharamu

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Uko mashariki ya kati Ronaldo anachezeshwa mashindano yasioleweka mashindano

Ukimuangalia Ronaldo anaonyesha kabisa hapendi kucheza mashindano hayo ila sasa ameshakula vya watu atafanyaje

Haya mashindano ni kama cecafa au mapunduzi cup hadi timu za somalia zinaitwa kushiriki

Nilikuwa namcheki Ronaldo kimtindo anaona noma sema fresh

Jamaa hadi sura imebadilika imekomaa balaa baada ya kwenda uarabuni

Kitu cha ajabu mashabiki hawajazi viwanja yaani uwanja unakuwa nusu hauna watu pmj na jina la Ronaldo kuwa lipo uwanjani

Kweli messi aliona mbali kuwakimbia waarabu.

USA kila mech masta wnahudhuri game za messi
Messi kawa kijana kule USA yaani ule uzee wa PSG haunekani tena! Kweli USA haimkatai ntu
 
Messi ukimuangalia wakati ligi inaisha june akiwa na psg alikuwa ameshazeeka kabisa hana nuru

Ila kaenda USA mwezi moja sura kawa km mtoto

Niliona mechi zote tatu alizocheza messi,mastaa wa NBA, music walijazana uwanjani kumwagalia la pruga
nimeamini marekani kiboko ,Messi kawa mtoto kabisa ,mtoto wake Mateo arudi nyuma

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Messi ukimuangalia wakati ligi inaisha june akiwa na psg alikuwa ameshazeeka kabisa hana nuru

Ila kaenda USA mwezi moja sura kawa km mtoto

Niliona mechi zote tatu alizocheza messi,mastaa wa NBA, music walijazana uwanjani kumwagalia la pruga
Beckham muhuni kamvuta dogo mesi pale Miami city

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Uko mashariki ya kati ronaldo anachezeshwa mashindano yasioleweka mashindano

Ukimuangalia ronaldo anaonyesha kabisa hapendi kucheza mashindano hayo ila sasa ameshakula vya watu atafanyaje

Haya mashindano ni km cecafa au mapunduzi cup hadi timu za somalia zinaitwa kushiriki

Nilikuwa namcheki ronaldo kimtindo anaona noma sema fresh

Jamaa hadi sura imebadilika imekomaa balaa baada ya kwenda uarabuni

Kitu cha ajabu mashabiki hawajazi viwanja yaani uwanja unakuwa nusu hauna watu pmj na jina la ronaldo kuwa lipo uwanjani

Kweli messi aliona mbali kuwakimbia waarabu la sivyo angechezeshwa na hawa kina alshabab wa somalia ambao ronaldo anacheza nao..
..

USA kila mech masta wnahudhuri game za messi
Messi kawa kijana kule USA yaani ule uzee wa PSG haunekani tena! Kweli USA haimkatai ntu
We sema tu ni timu Messi,
 
Uko mashariki ya kati Ronaldo anachezeshwa mashindano yasioleweka mashindano

Ukimuangalia Ronaldo anaonyesha kabisa hapendi kucheza mashindano hayo ila sasa ameshakula vya watu atafanyaje

Haya mashindano ni kama cecafa au mapunduzi cup hadi timu za somalia zinaitwa kushiriki

Nilikuwa namcheki Ronaldo kimtindo anaona noma sema fresh

Jamaa hadi sura imebadilika imekomaa balaa baada ya kwenda uarabuni

Kitu cha ajabu mashabiki hawajazi viwanja yaani uwanja unakuwa nusu hauna watu pmj na jina la Ronaldo kuwa lipo uwanjani

Kweli messi aliona mbali kuwakimbia waarabu.

USA kila mech masta wnahudhuri game za messi
Messi kawa kijana kule USA yaani ule uzee wa PSG haunekani tena! Kweli USA haimkatai ntu
Imagine huyo ni Ronaldo hamjuani una chuki hivyo vipi jirani yako hapo mtaani?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Yaani unamjadili Christiano Ronaldo kirahisi hivyo?

Wabongo kwa ujuaji, eti kazeeka kwa hiyo hana maisha mazuri siyo?

Jipige kifua ujipe haki yako kuwa wewe ni mjinga[emoji457][emoji1374]
 
Uko mashariki ya kati Ronaldo anachezeshwa mashindano yasioleweka mashindano

Ukimuangalia Ronaldo anaonyesha kabisa hapendi kucheza mashindano hayo ila sasa ameshakula vya watu atafanyaje

Haya mashindano ni kama cecafa au mapunduzi cup hadi timu za somalia zinaitwa kushiriki

Nilikuwa namcheki Ronaldo kimtindo anaona noma sema fresh

Jamaa hadi sura imebadilika imekomaa balaa baada ya kwenda uarabuni

Kitu cha ajabu mashabiki hawajazi viwanja yaani uwanja unakuwa nusu hauna watu pmj na jina la Ronaldo kuwa lipo uwanjani

Kweli messi aliona mbali kuwakimbia waarabu.

USA kila mech masta wnahudhuri game za messi
Messi kawa kijana kule USA yaani ule uzee wa PSG haunekani tena! Kweli USA haimkatai ntu

So tatizo liko wapi
 
Back
Top Bottom