Cristiano Ronaldo anataka kubeba mizigo yake aondoke kambi ya Ureno

 
Asilete usupastaa mavi kwenye mambo ya kitaifa .kama anataka yeye awe kocha basi ili apange yeye. Kashaona mziki wa Morocco mnene anaanza kuleta visingizio Ronaldo chupii
 
Jamaa ana shida ya akili. Anasahau amezeeka. Anajivuruga bila sababu
 
Hawezi ondoka.
Mchezaji mkubwa kama yule anazungukwa na timu ya wanasaikolojia, madaktari conciliators.Hawezi fanya upuuzi!

Angalizo mechi ijayo asipopangwa Ureno ikatolewa kacha atajua hajui.

Kawaida timu yyte inaposhindwa na mchezaji wao mkubwa akiwa ndani ni nafuu kwa Kocha
 
Wazee waondoke vijana wabaki.
 
Hahahaaa!! Uzee mzigo baba kubali wakati ni ukuta
 
Ronaldo sasa basi, hakuna marefu yasiyokuwa na mwisho ni wakati sasa wa kutundika daruga na kwenda kula pesa zake kuliko kukaa kwenye malumbano kila siku.
 
Ronaldo sasa basi, hakuna marefu yasiyokuwa na mwisho ni wakati sasa wa kutundika daruga na kwenda kula pesa zake kuliko kukaa kwenye malumbano kila siku.
Kwenye akaunti zake za instagram na facebook amekanusa kuwa na sintofahamu kwenye timu yao ya taifa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…