Cristiano Ronaldo anataka kubeba mizigo yake aondoke kambi ya Ureno

Kwanini Ronaldo hajifunzi kwa watu kama kaka, Raul, Figo, Ronaldinho, wamemaliza vipindi vyao kwa amani

Kama ni kweli amezingua sana, anazidi kumpa umaarufu Messi
 
alichofanya kocha ni dharau Ronaldo na messi ndio ICON ya biashara za FIFA alafu wewe unamuweka bench ili ndio kombe lake la mwisho muache amalizie mpaka kufika apo Ureno aliibeba kwenye mabega yake
Kwaiyo tumuachie aiangushe kwa mabega yake tena,wareno sio mbumbumbu.
 
alichofanya kocha ni dharau Ronaldo na messi ndio ICON ya biashara za FIFA alafu wewe unamuweka bench ili ndio kombe lake la mwisho muache amalizie mpaka kufika apo Ureno aliibeba kwenye mabega yake

Aliecheza nafasi ya Ronaldo kafunga hatrick,hata ungekuwa wewe ungempanga nani?
 
Aje Tanzania kupumzika na kupunguza msongo wa mawazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…