carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Hii dunia maajabu hayatakaa yaishe kwakwelikuna mashoga wana wake pia. sio shoga wote ni 'hanithi..
ila walaaniwe mashoga.......
Sio kila kitu unachoskia ni ukweli..Asante mkuu
Mieleka wanapigana hadi wamama.. Usijaribu kufananisha mpira na mambo ya kubamizana..Mkuu ina maana hujasikia mashoga wanapigana hadi mieleka??!!!!!Afu sidhani kama kupiga shuti lazima ukaze matako.
dunia ina mengiHii dunia maajabu hayatakaa yaishe kwakweli
Wenyewe wanasema anasingiziwa etManake sielewi mkuu walitoa hadi ushahidi jamaa limempakata na kiwango kikashuka sana wakati ule.Baadae akazuiwa na raisi wa madrid kwenda Morocco kwa lile jamaa arabu.Imekaa vipi hii?!!!!!!!!!!
Mkuu unalikumbuka tamko la Perez kumzuia jamaa asiende Morocco?Pia mbn hakuwahi kukanusha habari hizi??!!!Anyway mayb ilikuwa rumors
Yan inashangaza sana tuhuma za mwingine anaezikanusha ni mwingine.Mbn hawajasema James au Rooney ni shoga?Wenyewe wanasema anasingiziwa et
shoga pia anazalish babManake sielewi mkuu walitoa hadi ushahidi jamaa limempakata na kiwango kikashuka sana wakati ule.Baadae akazuiwa na raisi wa madrid kwenda Morocco kwa lile jamaa arabu.Imekaa vipi hii?!!!!!!!!!!
Utakua team Messi wewe
Kwani wanawake hawachezi mpira wa miguu?Mieleka wanapigana hadi wamama.. Usijaribu kufananisha mpira na mambo ya kubamizana..
Vizuri..Kwani wanawake hawachezi mpira wa miguu?
Nimecheka sana. Kwa sisi wachezaji mpira tunaujua ukweli!Mkuu ina maana hujasikia mashoga wanapigana hadi mieleka??!!!!!Afu sidhani kama kupiga shuti lazima ukaze matako.
Mashombe wa kisomali hawanaga tabia hzo mkuu...Eeeeh ndio si waona hata wewe ulizaliwa
Hujui mashombe wengi mashoga?