Cristiano Ronaldo Apata Mapacha Wa Kiume

Cristiano Ronaldo Apata Mapacha Wa Kiume

Manake sielewi mkuu walitoa hadi ushahidi jamaa limempakata na kiwango kikashuka sana wakati ule.Baadae akazuiwa na raisi wa madrid kwenda Morocco kwa lile jamaa arabu.Imekaa vipi hii?!!!!!!!!!!
Wenyewe wanasema anasingiziwa et
 
Root mkuu hao surrogte moms,kibongobongo wanaweza patikana?maana ningependa kuzaa na mrangi au mbulu!
 
Hongera sana [HASHTAG]#CR7[/HASHTAG] i wish mkeo angekuzalia HatTrick a.k.a Triplets ungefurahi sana..

[HASHTAG]#HallaMadrid[/HASHTAG]
 
Manake sielewi mkuu walitoa hadi ushahidi jamaa limempakata na kiwango kikashuka sana wakati ule.Baadae akazuiwa na raisi wa madrid kwenda Morocco kwa lile jamaa arabu.Imekaa vipi hii?!!!!!!!!!!
shoga pia anazalish bab
 
19624731_317075982039222_8496909629047963648_n.jpg
 
Back
Top Bottom