Mawazo ya kutokujuwa sababu kuna wanajeshi mashogo huko ulaya na marekani, wapo wacheza karate, judo na ngumi..ile kutiwa nyuma sidhani ni sababu za wao kutokuweza kufanya lolote, asi hata wakinamama wasingefanya haya yote tuyaonayo kama ni hivyo basi..basi wewe hujacheza Mpira.. ukianza ushoga lazima kazi zitetereke uwanjani
Kwa maana hiyo Cristiano hamfahamu Mama wa watoto wake?Hapana,wanatumia kitube flan kinaitwa catheter na sindano kuingiza shahawa ukeni.Process inaitwa intrauterine insemination.
Sina uhakika kama Cristiano katumia surrogate mother,ila kama katumia,ofcuz,lazima amjue mama maana kuna process za muhimu za kufata pamoja na malezi ya ujauzito hivyo sio jambo rahisi kama kutoa pesa atm.Lazima kuna ushirikiano na makubaliano.Kwa maana hiyo Cristiano hamfahamu Mama wa watoto wake?
Asante SLEDGEHAMMERSina uhakika kama Cristiano katumia surrogate mother,ila kama katumia,ofcuz,lazima amjue mama maana kuna process za muhimu za kufata pamoja na malezi ya ujauzito hivyo sio jambo rahisi kama kutoa pesa atm.Lazima kuna ushirikiano na makubaliano.
Sijibizani na wendawazimu, nipishe hukooWe jamaa mjinga sana
Sasa atakuwa hajui vp wakati yeye kaingia nae mkataba?
Anytime.Asante SLEDGEHAMMER