jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 9,604
- 8,812
Mawazo ya kutokujuwa sababu kuna wanajeshi mashogo huko ulaya na marekani, wapo wacheza karate, judo na ngumi..ile kutiwa nyuma sidhani ni sababu za wao kutokuweza kufanya lolote, asi hata wakinamama wasingefanya haya yote tuyaonayo kama ni hivyo basi..basi wewe hujacheza Mpira.. ukianza ushoga lazima kazi zitetereke uwanjani