HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Mchezaji wa Real Madrid kapata watoto mapacha kabla Mechi za makombe ya Mabara hayajaanza ila alikaa kimya hadi jana baada ya timu yake kutolewa ndio akasema
Mama wa hao watoto hajulikani
Sasa Ronaldo anakuwa na watoto 3 wa Kiume
Mkubwa akiwa na miaka 7
Ronaldo ameruhusiwa kutocheza mechi zijazo za mshindi wa 3 ili akawaone watoto wake
Cristiano Ronaldo confirms the birth of his twin boys | Daily Mail Online