Mchezaji nguli wa soka duniani Cristiano Ronaldo amemtaka mpinzani wake wa muda mrefu Leonel Messi kukubali challenge yake ya kumtaka kuondoka Spain ili kupata changamoto zingine kuthibitisha ubora.
Ronaldo" nimecheza ureno, uingeleza, uhispania na Sasa Italia liking yeye Messi muda wote yupo Spain, kwangu Mimi maisha ni changamoto, nahisi atakuwa amenimisi, Nampa changamoto akubali aondoke Spain aje Italy japo naheshimu maamuzi yake".
View attachment 965469
Kuongeza na kucheza wapi na wapi
Na Messi naye angetaka tumuone bora angehamia Girona si Barcelona tu kazungukwa na mastaaAngetaka changamoto angeenda Ac Milan
eti ameenda Juve miaka saba wanabeba kila kombe la ndani
umeenda kupata challange ya nini
kama Messi aende bayern munich kutafuta changamoto au psg
kakaa miaka 9 kachukua la liga mara mbili tu huku mwenzie akichukua mara sita
halafu nimeona kitabia cha kumuongelea messi ili ukae kwenye headlines alianza Maradona kujifananisha na Messi akafata Pele juzi juzi tu hapa sasa ronaldo
cr7 kaona hakuna mwenye shida naye na wakulima wenzie kaamua amuongelee messi
Messi ataongea uwanjani tu hana muda na nyinyi
Na Messi naye angetaka tumuone bora angehamia Girona si Barcelona tu kazungukwa na mastaa
CR7 mpaka sasa anaongoza kwa ufungaji kwenye ligi ngeni kwa mwaka wake wa kwanza tu. Ana magoli mengi, asists nyingi na short on target tu ziko karibu mara mbili ya anayemfuata kwa ufungaji. Wale hater wa CR7 waliokuwa wanasema penalti ndio zilikuwa zinambeba wako wapi. Wale waliokuwa wakisema yeye ni mbinafsi, hizo assists nyingi zimewaumbua
Hongera CR7 Mfalme wa soka kwa kizazi hiki, takwimu zinakutetea
- Cristiano Ronaldo
Juventus
117 per goal
1635 played
14 Goals scored
5 Assists
51 Short on target- Krzysztof Piatek
Genoa
123 per goal
1594 played
13 Goals scored
0 Assists
31 Short on target- Fabio Quagliarella
Sampdoria
129 per goal
1548 played
12 Goals scored
5 Assists
26 Short on target

Hebu pitia maadnishi yako tena, ni lini Messi amekuwa Attacking Midfielder. Kwa namba ipiHahahaa Haters mnapata tabu sana kwa king Messi 🤣🤣🤣 pole sana.
Wewe kama unaujuwa mpira vizuri huwezi ukam-compare striker na attaking midfielder...ni vitu viwili tofauti kamanda.... So huyo striker wako ataachaje kupata goli nyingi! Ebu jiulize tu hiyo nafasi mwanzo si ilikuwa ya HIGUAIN! so higuain alikuwa striker or attaking?? Nyie watu wa ajabu sana. Hata kuwaelewesha ni kazi bure tu.