BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Hebu pitia maadnishi yako tena, ni lini Messi amekuwa Attacking Midfielder. Kwa namba ipi
Nafasi zote CR7 anazocheza Messi ndizo False 9, winger wa kulia. Tangu enzi za PEP mesi amekuwa akicheza forward akibadilishwa ni winger wa kulia mara chache kushoto. Pole sana naona umechanganywa na uwezo wa Mesi wa ku-drible ukadhani ni MF
Basi kama hivyo Pele nae sio bora, sababu miaka 18 amecheza Santos, baadaye akaenda kulimalizia soka lake kwa miaka miwili US.Maradona alitoka Barcelona akahamia Napoli ikiwa timu ndogo sana, akaipa jina mpaka leo, Messi naye kama kweli ni mfalme wa soka atoke huko mafichoni aende kwenye ligi zingine ili tujue kama Jogoo la shamba linaweza wika mjini
Ronaldo anachekesha kweli..kama naye ni mkali kwa nn asingeenda kuchezea Parma huko Italy ili tujue kuwa yeye ni mkali, zaidi ya kutafuta timu kubwa tu, kaondoka Man, kaenda Madrid amekutana na mafundi kama Marcelo, Modric,Kross, Benzema na wengineo, Akaona ili kubeba Kombe la Italy lazima nieende kwa mabingwa yaani Juve yenye mafundi kama Mario, Douglas Costa, Dyabala nk..kama Yeye mkali na anahitaji changamoto aende angalau hata Parma tu sio mbaya ili tuone uwezo wake wa kuisaidia timu hadi inabeba ubingwa, sio kukimbilia timu kubwa ili akaendeleze mchezo wa "Nipe nifunge mimi"...
Very shallow pointsRonaldo anachekesha kweli..kama naye ni mkali kwa nn asingeenda kuchezea Parma huko Italy ili tujue kuwa yeye ni mkali, zaidi ya kutafuta timu kubwa tu, kaondoka Man, kaenda Madrid amekutana na mafundi kama Marcelo, Modric,Kross, Benzema na wengineo, Akaona ili kubeba Kombe la Italy lazima nieende kwa mabingwa yaani Juve yenye mafundi kama Mario, Douglas Costa, Dyabala nk..kama Yeye mkali na anahitaji changamoto aende angalau hata Parma tu sio mbaya ili tuone uwezo wake wa kuisaidia timu hadi inabeba ubingwa, sio kukimbilia timu kubwa ili akaendeleze mchezo wa "Nipe nifunge mimi"...
Yule alienda napoli kula Unga. Kule unapatikana kirahisiMaradona alitoka Barcelona akahamia Napoli ikiwa timu ndogo sana, akaipa jina mpaka leo, Messi naye kama kweli ni mfalme wa soka atoke huko mafichoni aende kwenye ligi zingine ili tujue kama Jogoo la shamba linaweza wika mjini
Aje LipuliMaradona alitoka Barcelona akahamia Napoli ikiwa timu ndogo sana, akaipa jina mpaka leo, Messi naye kama kweli ni mfalme wa soka atoke huko mafichoni aende kwenye ligi zingine ili tujue kama Jogoo la shamba linaweza wika mjini
Ni sawa na kusema PEP aende Cardiff City na aoneshe kua yeye ni kocha bora. haitajiki kwenda huko kujua ubora. hata mess ni bora pale BarcRonaldo anachekesha kweli..kama naye ni mkali kwa nn asingeenda kuchezea Parma huko Italy ili tujue kuwa yeye ni mkali, zaidi ya kutafuta timu kubwa tu, kaondoka Man, kaenda Madrid amekutana na mafundi kama Marcelo, Modric,Kross, Benzema na wengineo, Akaona ili kubeba Kombe la Italy lazima nieende kwa mabingwa yaani Juve yenye mafundi kama Mario, Douglas Costa, Dyabala nk..kama Yeye mkali na anahitaji changamoto aende angalau hata Parma tu sio mbaya ili tuone uwezo wake wa kuisaidia timu hadi inabeba ubingwa, sio kukimbilia timu kubwa ili akaendeleze mchezo wa "Nipe nifunge mimi"...