BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Hebu pitia maadnishi yako tena, ni lini Messi amekuwa Attacking Midfielder. Kwa namba ipi
Nafasi zote CR7 anazocheza Messi ndizo False 9, winger wa kulia. Tangu enzi za PEP mesi amekuwa akicheza forward akibadilishwa ni winger wa kulia mara chache kushoto. Pole sana naona umechanganywa na uwezo wa Mesi wa ku-drible ukadhani ni MF
Unajitoa ufahamu eti!haya endelea na mmaliziaji wako ambae hana tofauti na Higuain, same possession. While Messi anaanzia kati kati ya uwanja hadi golini..rinaldo wako anapiga story na keeper 😀😀....umechemsha ndugu.