Cristiano Ronaldo asusia kupiga Kura na kuhudhuria sherehe za Ballon d’Or

Cristiano Ronaldo asusia kupiga Kura na kuhudhuria sherehe za Ballon d’Or

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Vincent Garcia, Mhariri Mkuu wa France Football ambao ndio wamiliki wa tuzo za Ballon d'Or amebaki njia panda baada ya CR7 kuzikacha tuzo hizo.

Pia, Soma:

"Washindi wote waliopita Ballon d’Or wanaruhusiwa kuhudhuria sherehe zetu zote za Ballon d’Or ila Ronaldo huwa haji sijui bado ana hasira na sisi, lakini pia anakidhi vigezo vya kumpigia kura mchezaji bora chipukizi kila mwaka ila mwaka jana hakupiga kura na mwaka huu pia hakupiga kura, sijui tatizo ni nini maana huwa siongei nae moja kwa moja."
1730373447386.png

 
Back
Top Bottom