Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
- Thread starter
- #21
Messi atwae copa america kwanza.,mane atwae hilo la afrika kwanza,laporte hata timu ya taifa hana namba, mnyama ana euro,euro national league ,coppa italia,serie A
yatakuwa maajabu ya dunia,anayestahili kiatu cha dhahabu mwaka huu ni Messi,Laporte au Mane.