yatakuwa maajabu ya dunia,anayestahili kiatu cha dhahabu mwaka huu ni Messi,Laporte au Mane.
Ila copa america?HIYO COSAFA SENIOR CHALLENGE HAIWEZ KUKUPA BALLOON DOR
akichukua naacha kushabikia mpira na najitoa jf
Kuna watu wanaupenda mpira ila hawajui... wametawaliwa na mahaba tu kwenda mbele.Kwahiyo lile bonanza dhidi ya Uholanzi ndo limpe Ballon?Inaonekana bado hujainuka kitandani tangu ulipolala jana.