Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Au ni uzushi mi ni Ronado maana niko madrid mwanzo mwisho.
Mtoto akawa tajiri au?Messi alitoa jezi kumpa mtoto maskini !
Cr7 au nani? Huyo wa kule sijawahi kumpenda,,ni mbinafsi sana na yeye siyo mchezaji bora .Hujamtendea haki mchezaji bora kuwahi kutokea.
Mimi niko Argentina Manzese hapaSawa mkuu uhurumoja.itakuwa uzushi tu. Mimi ni king Messi Barca Barca,,,niko hapa Rosario central @ Buenos Aires 😀
Messi amezaliwa na ugonjwa ambao hawezi kumchangia mtu damu akimchangia tu maana yake kamuambukiza, jifunze kubisha kwa hoja zenye mashiko na si kubahatisha
Hata kwa mkopo huuzi .... Umuuzie nani mabati yaleHIVI LILE KOMBE LA TANZANIA BARA NA NGAO YA JAMII UKIUZA UTAPATA SHS NGAPI
Unauhakika!!!HII HABAR NI UONGO, IMEZUKA HASA KWA MILARD AYO
Mimi niko Argentina Manzese hapa
Kwan Ronaldo aliwaita waandishi wa habari waje wamtangaze!!! Yeye kafanya kitu cha kipekee lazma atafutiwe kiki hata kama hataki sabab hajafanya jambo bayaNi nzuri sana. Hata messi pia anatoa lakini hajionyeshi
Cr7 au nani? Huyo wa kule sijawahi kumpenda,,ni mbinafsi sana na yeye siyo mchezaji bora .
Mbinafsi,ndoa alifungia hotelin akitaka na father amfuate kule kanisa likakataaKing Leo. Mejores Jugadas de L10s
Hahaha bernabeu na Maracana hapo ndio huwa napotezea utaifa poa poa sanaSawa mkuu uhurumoja.itakuwa uzushi tu. Mimi ni king Messi Barca Barca,,,niko hapa Rosario central @ Buenos Aires 😀
Mbinafsi,ndoa alifungia hotelin akitaka na father amfuate kule kanisa likakataa
Umejuajemessi huwa hajionyeshi
Sasa wewe ulijuajeBwana lazaro.kwani akitoa mpaka mkono wa kushoto ujuwe??
Sasa wewe ulijuaje
Ana foundation ya watoto wanaoumwa cancer Syria, kama haujui ulizaMessi si mtoaji, hilo linajulikana !
We jamaa wewe inamaana hujui kuwa messi ana sikoseli? (Sickle cell)Ugonjwa gani huo usitulishe matango pori hata mwenye tatto anaweza kutoa damu baada ya muda mrefu kupita
Alukuzwa kwa pig booster.We jamaa wewe inamaana hujui kuwa messi ana sikoseli? (Sickle cell)