Cristiano Ronaldo auza tuzo yake ya Ballon d'Or

Cristiano Ronaldo auza tuzo yake ya Ballon d'Or

messi huwa hajionyeshi
DLcD1PaXcAARuP3.png

Watoaji wanajulikana !
 
Mtoto akawa tajiri au?
Haikulipa hata school fees ! Huyu jamaa aliwahi kutoa zawadi ya viatu vyake Misri ! Kwa Muarabu kumpa viatu vilivyotumika kama zawadi ni kashfa. Unakumbuka G. Bush alivyotupiwa viatu pale Iraq ?
 
Messi anatakiwa kuiga.....sio kufuga midevu tuu
 
Hii ni nilikua sijajua bado. Kama kuna ukweli sijawahi kuona tattoo kwa huyu mshkaji. Vizuri sana!
Haina ubishi kuna MCHEZAJI mwenzake kwenye timu ya Taifa ya URENO Carlos Martinez huyu akiwa kambini aliwaeleza wenzake kuwa mwanaye anaumwa na anatakiwa kuchangiwa "bone marrow"

Cr7 alimchangia na kwenye fainali za kombe la dunia 2014 Cr7 alinyoa nywele zake ktk mtindo wa mchoro wa zigzag kuonesha support kwa yule kijana aliyekuwa anaumwa maana alikuwa na jeraha kichwani lenye mfano wa jinsi cr7 alivyonyoa.

Toka hapo amekuwa akichangia damu na bone marrow Mara mbili kwa mwaka.anajivunia saana kuchangia damu kwa ajili ya watoto wenye matatizo.
 
Sasa mnajuaje kama hutoa kama hajionyeshi


Bakhressa anatoa lakini hajionyeshi. Je wajua hilo??? Yani unataka mpaka dunia yote ijue furani katoa na fulani hajatoa???? Ndiomana nikasema mpenda sifa hawezi ata cku moja akatoa msaada bila kujionyesha. Kwa ronaldo hayo 2nayaona.


Mwisho kabisa. 2shugulike na mambo ye2. Ya king na cr7 tuwaachie wenyewe,,,sie 2baki na nchi ya viwanda na bombadia.
 
Back
Top Bottom