Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikujibu nijulishe tafadhali !Sasa mnajuaje kama hutoa kama hajionyeshi
Ngoja tuwasubiriAkikujibu nijulishe tafadhali !
Kiba na Diamond wameingizwa pia !Kwa nini kila CR7 akitajwa ni lazima, Mesi aingizwe?
Thread haimuhusu Messi lakini watu wanamuingiza Messi, yaani wabongo ni tabu tupu!
Haikulipa hata school fees ! Huyu jamaa aliwahi kutoa zawadi ya viatu vyake Misri ! Kwa Muarabu kumpa viatu vilivyotumika kama zawadi ni kashfa. Unakumbuka G. Bush alivyotupiwa viatu pale Iraq ?Mtoto akawa tajiri au?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] duuuh hatarMessi anatakiwa kuiga.....sio kufuga midevu tuu
Haina ubishi kuna MCHEZAJI mwenzake kwenye timu ya Taifa ya URENO Carlos Martinez huyu akiwa kambini aliwaeleza wenzake kuwa mwanaye anaumwa na anatakiwa kuchangiwa "bone marrow"Hii ni nilikua sijajua bado. Kama kuna ukweli sijawahi kuona tattoo kwa huyu mshkaji. Vizuri sana!
Sasa mnajuaje kama hutoa kama hajionyeshi