Cristiano Ronaldo (CR7) amvisha pete ya uchumba ya Bilioni 1.8 za Kitanzania mpenzi wake

Dah...nilikuwa nkiambiwa nioe umri mkubwa nilikuwa nasema kwa sauti kubwa huyo christiano ronaldo na mihela yake bado ajaoa mimi nina nini mpaka nioe....sasa naona mdhamini wangu anaenda kuniachia manyoya muda si mrefu.
ha ha ha!!
 
Ronaldo kaanza kushika mahela toka ana miaka 20.. ila anachumbia akiwa na miaka 35

Bongo huku tukipata vikazi vya laki 6 tu.. wazazi na wanawake wanalazimisha tuwaoe. Na hapo hapo watasema wanataka pete ya gharama
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kazi kwel kwel
 
Bilioni 23.6 za kitanzania!
Kwa kifupi mariah carey kaivaa timu ya simba kidoleni kwake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mikiaaa banaaa na bado pesa yenyewe watatapeliwaa
 
Bado kidogo ifikie Ile hela ya Hamisi anayoililia
 
Ronaldo kaanza kushika mahela toka ana miaka 20.. ila anachumbia akiwa na miaka 35

Bongo huku tukipata vikazi vya laki 6 tu.. wazazi na wanawake wanalazimisha tuwaoe. Na hapo hapo watasema wanataka pete ya gharama
Nani kasema Ronaldo ndio references ya kuchumbia?
 
Huyu Mr. Misifa kama DIAMOND TU SIO MUOAJI
 
Messi mshamba tu.

Huwezi kuwa CR7 usile watoto wazuri.

Hata ingekuwa wewe lazima ungewatundika wa kutosha.
 
Ronaldo kaanza kushika mahela toka ana miaka 20.. ila anachumbia akiwa na miaka 35

Bongo huku tukipata vikazi vya laki 6 tu.. wazazi na wanawake wanalazimisha tuwaoe. Na hapo hapo watasema wanataka pete ya gharama
Ameanza kushika hela toka akiwa na 16 huko Ureno kwao.
 
Nawaza tu,hivi kumchumbia mwanamke kwa hela nyingi namna hiyo inaweza kusaidia asije kukusaliti...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…