Cristiano Ronaldo hatimaye ametupa taulo

Sikumshuhudia Gaucho

Nimeamgalia clip naona Gaucho zaidi ni ball dancer unataka kuniambia Gaucho ni bora kuliko Messi na Ronaldo?
Zama zile kulikua na utiritri wa mafundi, walikuwa wengi mnoo mpaka uonekane outstanding haikua rahisi: unachukua Ballon d’or mbele ya Zidane, Henry, Delima, Delpiero, Figo, Michel Owen, scholes, Rivaldo, Kaka, mpira ulikua burudani, kizazi Chenu kuna Radha mmezikosa coz now the game is not entertaining, no thrills. Kipindi hicho hakuna social media wala nini, lakini balaa lililokuwepo mmmh!. Hii Brazil iliyoshiriki worldcup juzi hakuna hata mtoto Mmoja Angeanza first eleven kwenye kikosi cha Brazil 2002 Korea na Japan pale.
 
Comment hii imenitetemesha damu enzi 2002 unaangalia mpira huku umejishika moyo.
 
Sema jamaa amejitahidi sana
 
mkuu huu ukweli mtupu, et mtu anasema gaucho alikuwa ball dancer, seriously!??!
 
Sikumshuhudia Gaucho

Nimeangalia clip naona Gaucho zaidi ni ball dancer unataka kuniambia Gaucho ni bora kuliko Messi na Ronaldo?
unataka kulinganisha mbingu na ardhi? unamjua gaucho wewe, et gaucho ni ball dancer, kapate tiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…