Cristiano Ronaldo kuingizia Billion 1.5 kwa siku huko saudi Arabia

Cristiano Ronaldo kuingizia Billion 1.5 kwa siku huko saudi Arabia

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Umri wake ni miaka 37 mwakani mwezi wa 2 tarehe 5 atakuwa na miaka 38.

Amesaini mkataba wa kufuru utakaomfanya kulipwa pesa nyingi kuliko mchezaji yoyote duniani!
20221231_163507.jpg
 
Acha ale mafao yake ya uzeeni vema, angebaki ulaya huenda hata robo ya hiyo fedha asingepata timu ya kumlipa
 
Back
Top Bottom