Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
wangefanya hata nusu yake husingemuona uwanjani,Afadhali kwakweli na vijana wengine wapate nafasi na uhuru wa kucheza
Unamjua Ronaldo kutokea wapi mkuuNimjuavyo Ronaldo sidhani kama atastaafu kama mesi hajastaafu.
Bado natarajia kuona Ronaldo akicheza akiwa na bakora ili tu Messi asimpite.
Confirmed Conspiracy ✅
Nadhani Na Kufikiri Ya Kuwa...!! Na Ubingwa Pia Ni Wao....
Tunamshukuru sana Lisu kwa kuendelea kuwa magereza maana kuwa kwake magereza Ronaldo ataendelea kukipiga mpaka kieleweke.Kutokana na tukio hilo kama Taifa la Tanzania tunasikitishwa sana na jambo hili kama litatokea
Tuzidi kumwomba mungu lisitokee
Hivi huyu ronado atapata mafao yake ya NSSF?Nimjuavyo Ronaldo sidhani kama atastaafu kama mesi hajastaafu.
Bado natarajia kuona Ronaldo akicheza akiwa na bakora ili tu Messi asimpite.
Nadhani hatapata. Ni sawasawa na vile ambavyo malaya wa kimboka hawatarajii mafao baada ya kustaafu.Hivi huyu ronado atapata mafao yake ya NSSF?