Yani mengi tu anauwezo wa kumlisha huyo CR7 kumpata mengi mmoja tu ni sawa uchukue cr7 5 na chechi inabaki nyingi sanaAcha kumfananisha CR7 na watu wa ajabu
sawaYani mengi tu anauwezo wa kumlisha huyo CR7 kumpata mengi mmoja tu ni sawa uchukue cr7 5 na chechi inabaki nyingi sana
Tena kazidiwa sana mkuuTeh,ina maana trump kazidiwa hata na DANGOTE
weee hizi takwimu za wiki iliyopita hukuona au?Huyo ronaldo tu hata kwa kina lebron badoo sanaa
naona unaporomoka kwa kasi,Acha kumfananisha CR7 na watu wa ajabu
Mh Ronaldo hata umzidishe mara Kumi hamfiki huyo mfacebook maana utajiri wake anaweza kuzinunua timu hata nne za Spain ikiwepo R.mdrid yenyewe na akamlipa C.Ronaldo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzee unaninyemelea mastanaona unaporomoka kwa kasi,
Hahahanaona unaporomoka kwa kasi,
Ile takwimu na wanamichezo waliongiza pesa nyingi kwa mwaka uliopita. Sio wenye mkwanja mwingi, kuna tofauti hapo.weee hizi takwimu za wiki iliyopita hukuona au?
basi sikuelewaIle takwimu na wanamichezo waliongiza pesa nyingi kwa mwaka uliopita. Sio wenye mkwanja mwingi, kuna tofauti hapo.
Ile takwimu na wanamichezo waliongiza pesa nyingi kwa mwaka uliopita. Sio wenye mkwanja mwingi, kuna tofauti hapo.
You are wrong friend ...uyo founder kwenye top 5 yupo ya richestAcha kumfananisha CR7 na watu wa ajabu
Wana michezo matajiri duniani Cr7 yupo namba moja na Lebron yupo nafasi ya tatu..Huyo ronaldo tu hata kwa kina lebron badoo sanaa