Cristiano Ronaldo na Mmiliki wa Facebook/Instagram:

Cristiano Ronaldo na Mmiliki wa Facebook/Instagram:

Mh Ronaldo hata umzidishe mara Kumi hamfiki huyo mfacebook maana utajiri wake anaweza kuzinunua timu hata nne za Spain ikiwepo R.mdrid yenyewe na akamlipa C.Ronaldo

Sio nne mkuu, jamaa anauwezo wa kununua Man Utd 5, BarcelonA 6 na R.Madrid 5 na chenji ikabakia ya kununulia Arsenal.

Christiano haingii hata kwa Jay Z, itakuwa Zuker?
 
Ile takwimu na wanamichezo waliongiza pesa nyingi kwa mwaka uliopita. Sio wenye mkwanja mwingi, kuna tofauti hapo.
8a485f3daf109ff7563b65e7e150a541.jpg
pesa ya ronaldo
7ae68a845f2efdcd7928adcffec6b5fd.jpg
pesa ya mengi mmilikia wa fb kuweka pesa yake hapa ni kama kumdhalilisha ana pesa nyingi sana
 
Aliekuambia kuwa mafanikio ni mkwanja mrefu ni nani??![emoji32][emoji32][emoji32]
 
Chaliiangu iyo dogo inayoitwa Zucker ina pesa mingi laana. Inaweza ilisha tz kwa bajeti ya Tsh 31trilion kwa miaka minne. CR7 hawezi hata kulisha kamkoa kamoja. Kwanza tofautisha kati ya B na M. Tunapozungumzia iyo jamaa tunazungumzia "B" of Billion USD wakati CR7 tunazungumzia "M" ya million USD. Tusiende mbali. Tuishie tuu hapo kwani hastahili hata kufunga kama za viatu vyake.
 
Back
Top Bottom