Cristiano Ronaldo na Mmiliki wa Facebook/Instagram:

Cristiano Ronaldo na Mmiliki wa Facebook/Instagram:

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Jamani katika Mitandao Tajwa Hapo Juu nimeona CR7 ana Followers wengi kuliko [HASHTAG]#Zuck[/HASHTAG] sasa kati ya Hawa nani Mwenye Mkwanja Mrefu na Katika uingizaji wa Hela Nani Anaingiza Mkwanja Mrefu Kuliko Mwenziee!
upload_2017-6-16_13-10-0.jpeg
upload_2017-6-16_13-11-2.jpeg
 
we jamaa aliyekuambia kuwa na followers wengi ndo utajiri nani???? acha kumfananisha marck na vitu vya kipumbavu
 
Back
Top Bottom