Cristiano Ronaldo ni somo kwa vijana

Cristiano Ronaldo ni somo kwa vijana

Tanzania yetu hii ni shida yani nivyokua olevel kuna washkaji walikua wanasakata kabumbu usipime lakini ukiuliza wapo wapi utaambiwa ni engineer ,daktari wengine photographer daaaah.
 
Mkuu tatizo hatuko na mifumo mizur si wewe pekee yako,tupo wengi lakin mifumo imetuangusha, enzi zangu nilikuwa naudananda kweli.. jina la kichogo(thierry henry) halikuja bure, sasa limebadilika na kuitwa diego simeone... Nakumbuka niko o level nilikuwa nasoma morogoro, shule yetu michezo si kipaumbele, ikaja umiseta sijui ikawa lazima tushiriki, tukaulizwa wanaotaka kucheza, niliingia kipindi cha pili, na hii ilinisaidia kidogo maana pumzi zilikuwa kisoda,aisee game yetu nilipiga mpira mwingi kwa dakika km 30 hv kabla pumzi kukata, nakumbuka mashabiki wa timu pinzan walikuwa wananishangilia, baada ya game kuisha walikuja kunipa pongez kibao na kuniomba niwe napiga nao mazoezi.. beki yao iliniambia "we jamaa fundi saana" akanitania ungekuwa ulaya hamna hamna tottenham au valencia ungekipiga.. tukatabasamu kila mtu akashika njia yake

Lakin leo km ntamwambia mtu asienijua km niliupiga mwing ngumu kuamin, vipaji vingi vinapotea, huko moro vijijin niliona watu wanaupiga mpira mwing, kuna dogo sijui yuko wapi, niliamin atakuja kucheza ligi kuu bongo ila mpaka leo jina sijaliskia.. kijij kizima yeye ndio kilikuwa kipaji bora zaid kwao.
Makaveli pole sana kwa kukatiza ndoto zako, tuna stahili kunionea uhuruma kwenye hili.

Mimi mwenyewe kipindi hicho niko primary nilikuwa tegemeo la shule nzima, nikiwepo mimi watu walikuwa wanaamini hakuna goli litakaloingia labda iwe bahati mbaya, kwanza nilikuwaga nacheza namba zote za nyuma mpaka kudaka.

Ukirudi kitaani ndio usiulize nilijitengenezea umaarufu mkubwa sana kwenye ligi za kuku zile, umahiri wangu wa kudhibiti washambuliaji viberenge upande wa kushoto kila mtu alinikubali mpaka kocha na ma teammates wangu wa kitaa wakaanza kuniita makshoto Lizarazu wakiniambia nastahili kuchezea ulaya kabisa sababu kwanza nilikuwaga nna discipline ya hali ya juu na watu wakawa wana ambiwa wajifunze kwangu.

Kipaji kilianza kupotea baada ya tuitions kuanza kuwa nyingi na kadri tulivyokuwa tunapanda madarasa ya mitihani hata muda wa kupiga boli ulianza kukosekana, hatimae hata punzi ikapotea...

Nakimisi sana kipaji changu pengine labda Leo ningekuwa nakipiga hata ma ac Millan huko. Nilikuwa na uwezo wa kupiga dana dana 2000 kwa mpigo mmoja, lakini Leo hata kufikisha 500 tu inshu.

Hawa wazazi wa kiafrika wana matatizo sana wanaamini hili upate mafanikio ni lazima ukariri maandishi kwa miaka kibao halafu mafanikio yenyewe wanayotaka uwe nayo ni pesa, unamaliza kusoma kazi hakuna hata pesa hakuna mnabaki kuangaliana tu.
 
Tanzania yetu hii ni shida yani nivyokua olevel kuna washkaji walikua wanasakata kabumbu usipime lakini ukiuliza wapo wapi utaambiwa ni engineer ,daktari wengine photographer daaaah.
ni kweli mkuu wengi sana washikaji wenye vipaji wanaozeeka bila dunia kuvijua vipaji vyao, samata anaujua mpira lakin wapo wengi wengine ambao wameshindwa kufika hata katika ligi kuu kutokana na maisha na pilika za kutafuta pesa/elimu
 
Makaveli pole sana kwa kukatiza ndoto zako, tuna stahili kunionea uhuruma kwenye hili.

Mimi mwenyewe kipindi hicho niko primary nilikuwa tegemeo la shule nzima, nikiwepo mimi watu walikuwa wanaamini hakuna goli litakaloingia labda iwe bahati mbaya, kwanza nilikuwaga nacheza namba zote za nyuma mpaka kudaka.

Ukirudi kitaani ndio usiulize nilijitengenezea umaarufu mkubwa sana kwenye ligi za kuku zile, umahiri wangu wa kudhibiti washambuliaji viberenge upande wa kushoto kila mtu alinikubali mpaka kocha na ma teammates wangu wa kitaa wakaanza kuniita makshoto Lizarazu wakiniambia nastahili kuchezea ulaya kabisa sababu kwanza nilikuwaga nna discipline ya hali ya juu na watu wakawa wana ambiwa wajifunze kwangu.

Kipaji kilianza kupotea baada ya tuitions kuanza kuwa nyingi na kadri tulivyokuwa tunapanda madarasa ya mitihani hata muda wa kupiga boli ulianza kukosekana, hatimae hata punzi ikapotea...

Nakimisi sana kipaji changu pengine labda Leo ningekuwa nakipiga hata ma ac Millan huko. Nilikuwa na uwezo wa kupiga dana dana 2000 kwa mpigo mmoja, lakini Leo hata kufikisha 500 tu inshu.

Hawa wazazi wa kiafrika wana matatizo sana wanaamini hili upate mafanikio ni lazima ukariri maandishi kwa miaka kibao halafu mafanikio yenyewe wanayotaka uwe nayo ni pesa, unamaliza kusoma kazi hakuna hata pesa hakuna mnabaki kuangaliana tu.
pole mkuu yawezekana mipango ya kuendeleza vipaji na michezo ingekuwa mizuri leo hii ungekuwa unazungumzwa san siro!!!
uzuri ukiwa na kipaji unakuja kufanya kazi unayoipenda maishani wengi wetu tunaacha vipaji vyetu vya asili na kukomaa kukariri vitabu ila mwisho wa siku unakuja kufanya kazi ambayo hukuifikiria utotoni wala hukuwa na ndoto nayo
Ashley Cole alipata kusema "sisi wacheza mpira ni watu wenye bahati zaidi sababu tunatengeneza pesa kwa kufanya kazi tunayoipenda zaidi maishani"
 
ronaldo-ballon-dor-2.jpg

UPDATES
Ronaldo amechukua tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka wa dunia kwa mara ya 5 jana usiku
 
Umenena vyema ila mimi huwa nakereka sana mtu anaposema eti Ronaldo hana kipaji.Hivi kweli Ronaldo hana kipaji cha mpira serious!!!!

Tafuten maneno mazuri ya kutengeneza mnachotaka kukisema sio kusema hana kipaji.Atleast useme messi Ana kipaji kuliko Ronaldo ila Ronaldo anaongeza juhudi zake za mazoezi atleast ina sound sio kusema hana kipaji.

Asiye na kipaji unamjua kweli wewe?
 
Bora mie navuta bangi kuliko wewe unaevuta makinikia...! We umeona wapi ronaldo kashinda ballon d'or ya tano?
mkuu samahani sana kwa kukutusi nilidhani ni hawa vijana wahuni wa jf na sikujua kama hiyo tuzo wameitenganisha ilikuwa ni tuzo moja siku za nyuma.
Asante sana kwa taarifa
 
Umenena vyema ila mimi huwa nakereka sana mtu anaposema eti Ronaldo hana kipaji.Hivi kweli Ronaldo hana kipaji cha mpira serious!!!!

Tafuten maneno mazuri ya kutengeneza mnachotaka kukisema sio kusema hana kipaji.Atleast useme messi Ana kipaji kuliko Ronaldo ila Ronaldo anaongeza juhudi zake za mazoezi atleast ina sound sio kusema hana kipaji.

Asiye na kipaji unamjua kweli wewe?
mkuu mimi/wewe au mtu yeyote kwa bidii ya mazoezi tungeweza kuwa kama cristiano ronaldo lakini kamwe hata kama ufanye mazoezi usiku na mchana huwezi kuwa kama zidane messi au gaucho.Kipaji kinaonekana toka utotoni labda jiulize wakati ule messi anasumbua katika fifa world cup-under 17 ronaldo alikuwa wapi kimafanikio wakati kiumri hawajatofautina sana??

ronaldo ameibuka sababu ya bidii yake ya mazoezi na kujituma na anachukua tuzo hizi kwa sababu ya mafanikio ila kama wangekuwa wanazitoa sababu ya kipaji ronaldo asingeweza kuchukua tuzo hata moja mbele ya messi.
kile unachokiona kwa messi ni ''pure talent'' ungekiona tu hata kama asingekuwa na bidii ya mazoezi
 
Sina shaka na Messi,Ronaldinho na Ziddane kuwa na kipaji kuliko Ronaldo.Ninachokipinga ni kusema Ronaldo hana kipaji kabisa hilo jambo haliwezekani, hauwezi kuwa mchezaji bora kariba ya Ronaldo halafu usiwe na kipaji kabisa iwe nguvu ya mazoezi pekee haiwezekani.

Jiulize Ronaldo Kaingia kikosi cha Timu ya taifa Ana miaka 19 na alikuwa tayari ameshasajiliwa na Manchester.Jaribu kujiuliza kuna wareno wangapi waliokuwa na vipaji mpaka yeye aweze kutoboa timu ya taifa na aonwe na timu kubwa kama Manchester katika umri huo then awe hana kipaji IMPOSSIBLE.

Messi Ana kipaji cha daraja la juu sikatai lakini hiyo siyo sababu ya kusema Ronaldo hana kipaji.Asingefika alipo
 
Mkuu unaongea kweli tupu ila kuna watu kubisha ni jadi yao, unawezaje kusema kuwa eti ronaldo hana kipaji....! Kabisa unashupaza shingo, hivi ni wachezaji wangapi ambao wanatamani kuwa km ronaldo? Kama case ni mazoezi tu then unakuwa km ronaldo basi wangekuwepo wengi sana, ronaldo ana kipaji kikubwa sana jumlisha na kujitoa kwake kwenye mazoezi ndomana alitoboa bado mdogo

Ronaldo ana kipaji ila messi ana kipaji zaidi yake hili ndio neno ambalo wanastahili kusema full stop, na kuthibitisha hivo hatatokea winger mwingine duniani mwenye uwezo wa kulingana na ronaldo katika ufungaji kamwe sana sana tutapata wenye uwezo wa kina roben, neymar

Jamaa anafurahisha sana eti mimi au wewe tunaweza kuwa kama ronaldo real? Hivi kuna wachezaji wangapi Wameshindwa kuwa kama Cristiano na wako sehemu sahihi kina depay, martial, bale, hazard, sterling, mahrez na wengine kibao alafu eti uje kuweza wewe ulie huku mabonde kuinama
 
Sina shaka na Messi,Ronaldinho na Ziddane kuwa na kipaji kuliko Ronaldo.Ninachokipinga ni kusema Ronaldo hana kipaji kabisa hilo jambo haliwezekani, hauwezi kuwa mchezaji bora kariba ya Ronaldo halafu usiwe na kipaji kabisa iwe nguvu ya mazoezi pekee haiwezekani.

Jiulize Ronaldo Kaingia kikosi cha Timu ya taifa Ana miaka 19 na alikuwa tayari ameshasajiliwa na Manchester.Jaribu kujiuliza kuna wareno wangapi waliokuwa na vipaji mpaka yeye aweze kutoboa timu ya taifa na aonwe na timu kubwa kama Manchester katika umri huo then awe hana kipaji IMPOSSIBLE.

Messi Ana kipaji cha daraja la juu sikatai lakini hiyo siyo sababu ya kusema Ronaldo hana kipaji.Asingefika alipo
wachezaji wengi wanaotamba ulaya hawajazaliwa na vipaji vya soka wamekuwa bora sababu ya kufundishwa skills za mpira katika academy na mipango mizuri waliyonayo wenzetu ya kuendeleza vipaji ronaldo ni mmojawao

na mpira ni kujiamini wala usishangae nikikuambia mimi au wewe tungewekwa kama ronaldo kama tungepata mazingira mazuri ya kutuendeleza utotoni,yeye ana miguu miwili kama mimi au wewe tunachokosa waafrica ni mazingira mazuri utotoni ya kuendelezwa lishe bora vifaa n.k
 
Back
Top Bottom