Cristiano Ronaldo: Saudi Pro League is more competitive than Ligue 1

Cristiano Ronaldo: Saudi Pro League is more competitive than Ligue 1

Inaawzekana kukawa na timu moja nzuri sana lakini zingine hakuna kitu, ubora wa ligi haiangaliwi timu moja tu. Pale ufaransa psg ni timu bora lakini je wengine vipi? wanakaribiana na ubora wa psg?
Mkuu Ligi la Saudia nivituko vitupu ukipata nafasi vizuri anza kufatilia mechi zoa ujionee uozo, Naimani Al nassr haiwez kuifunga hata Le havre ya ufaransa
 
Kwanini League 1 inatoa timu mbili champions League ?
Kaka hata kama ingekuwa inatoa timu moja ila kinachoangaliwa ni Ubora wa Timu moja moja, hata kama Ligue 1 ni mbovu huwez linganisha na ligi la saudia ambalo wachezaji waliokwisha jiishia ulaya ndo wanaenda huko na kugeuka kuwa maGod father wao,

hebu tuongee tu ukweli Yule koulibaly anaweza kukimbizana au kuhimili usumbufu wa mchezaji kama Doku ? Au ronaldo anaweza kumpita kwa speed au hat kwa ufundi wowote beki kama Akanji ?
 
Nafunga mjadala kwa Swali hili, Ligi la Ufaransa Ligue 1 limetoa wachezaji lukuki walio bora kabsa na waliozisaidia Timu zao za taifa kushinda World cup,

Sasa naomba mnitajie Mchezaji mmoja tu kutokea Ligi la saudia ambaye amewahi kubeba kombe la Dunia akiwa na Timu yake ya Taifa ?
 
[emoji599] Cristiano Ronaldo: “𝐒𝐚𝐮𝐝𝐢 𝐋𝐞𝐚𝐠𝐮𝐞 𝐢𝐬 𝐛𝐞𝐭𝐭𝐞𝐫 𝐭𝐡𝐚𝐧 𝐋𝐢𝐠𝐮𝐞𝟏 already now, I’m sure of that" [emoji1210]

◉ “Saudi Pro League is more competitive than Ligue1, I can say that after one year spent there and I’m sure”.

◉ “We are better than French league already now”.

◉ “I feel so happy at Al Nassr Saudi is in a process, it will take long… but then they will go to the top level”.

◉ “Saudi Pro League will be among 𝐭𝐨𝐩 𝐭𝐡𝐫𝐞𝐞 𝐥𝐞𝐚𝐠𝐮𝐞𝐬 𝐢𝐧 𝐭𝐡𝐞 𝐰𝐨𝐫𝐥𝐝! So people in Saudi will be proud for sure”.

◉ “I was the best goalscorer this season at almost 39… imagine beating young animals like Haaland, proud!”.

◉ “𝐑𝐞𝐭𝐢𝐫𝐞𝐦𝐞𝐧𝐭 plans? The moment I feel I’m done, I’ll retire… and so 𝐦𝐚𝐲𝐛𝐞 𝐢𝐧 𝟏𝟎 𝐲𝐞𝐚𝐫𝐬!”, Cristiano says [emoji1]

Ndo bingwa wao apigwe na al ahly kweli ? Hamna ligi pale. Ahly ni timu ndogo sana duniani kitendo cha kuwapiga wasaudi inaonesha hamna kitu
 
Inaawzekana kukawa na timu moja nzuri sana lakini zingine hakuna kitu, ubora wa ligi haiangaliwi timu moja tu. Pale ufaransa psg ni timu bora lakini je wengine vipi? wanakaribiana na ubora wa psg?
Monaco, Marseille, Lile, Nice, Lens n.k unaweza kuzifananisha na team gani pale Saudi? Ronaldo tunamuacha abwabwaje maana ndo kula yake (kumbuka ni balozi wa ile ligi) ila hata yeye uhalisia anaujua. Hiyo ligi kuifananisha na Ligue 1 ya France ameenda mbali mno maana hata akiilinganisha na Ligi ya Scotland tu haitoboi!
 
Duh
 
Kaka hata kama ingekuwa inatoa timu moja ila kinachoangaliwa ni Ubora wa Timu moja moja, hata kama Ligue 1 ni mbovu huwez linganisha na ligi la saudia ambalo wachezaji waliokwisha jiishia ulaya ndo wanaenda huko na kugeuka kuwa maGod father wao,

hebu tuongee tu ukweli Yule koulibaly anaweza kukimbizana au kuhimili usumbufu wa mchezaji kama Doku ? Au ronaldo anaweza kumpita kwa speed au hat kwa ufundi wowote beki kama Akanji ?
Kwanini League 1 inatoa timu mbili champions League ?
Ile iliyocheza group moja na Arsenal ilikuwa inatoka ligi gani ya Ufaransa?
 
Hicho si kigezo, sababu ligi hiyo utamu umeanza msimu huu na hapo kati ittihad kapoteana kimtindo., unadhani al ahly angemfunga al hilal au al nasr ya msimu huu?

Al ittihad iliyopigwa ni ya msimu huu mechi ya juzi tu mwezi uliopita na kina benzema, fabinho , kante wote ndani lakini walikula kichapo tena ushindi mkubwa.. Na huyo alhly alienda kupigwa na wabrazil kama amesimama.
 
inaezekana kwa ligi 1 lakin kwa top three never
Haiwezekan mzee league 1 ina wapambanaji kuliko huko vipaji vingi vya watu wa Africa vinaanziaga huko league 1, hiyo timu yao hata wakicheza na Metz hawapati matokeo sasa nenda kaangalie Metz ni ya ngapi kwenye league 1 , ufaransa kuna vipaji sana masta
 
Back
Top Bottom