Kweli kabisa na Le havre yupo league 2 kama sio champion National, , timu za uarabuni haziwez kuifunga Al Ahly ya Egypt wataweza kuruka na kina brest kweli ?
Saudi ni ligi ndogo sana duniani, hata ligi za argentina huko brazil hawajazifikia bado. Nailinganisha na ligi daraja la pili ulaya tena kwa nchi kama spain au uingereza hata daraja la pili iko juu ya saudi
Yaaah me naona kama wanapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa si wanamlipa hela nyingi inaweza kuwa ni sehemu ya deal huwez jua, kuitangaza ligi yao na sio otherwise …