Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,310
Hakika maana ni bahati iliyoje kushuhudia haya waliyoyafanya hawa viumbeNamshukuru Mungu nitawasimulia wajukuu zangu kizazi cha Ronaldo na Messi
Hatimae Messi fan is here 😂Mess baba lao,uyo Ronaldo ana ballon d or ngap !?
RECORD! Cristiano Ronaldo joins Iker Casillas (177) as all-time leading appearance maker in the Champions League [emoji122]Mess baba lao,uyo Ronaldo ana ballon d or ngap !?
Magoli zaidi ya 90 kawafunga akina Malta, San Marino, Luxembourg, Andorra, Moldova na Lichtenstein
Labda wachezaji wengine hawako obssessed kihivyo na individual recordsHivi wachezi wengine hawajawahi kucheza na hizo timu? Kama wamewahi kwanini yeye tu ndio kaweza kufunga magoli mengi
Sawa.Labda wachezaji wengine hawako obssessed kihivyo na individual records
Kuanzia 2004, amecheza euros 5 na world cup 4 lakini amefunga magoli matatu tu kwenye mechi zote za hatua ya mtoano, maana yake 95% ya magoli yake anawafunga vibonde kwenye qualifiers.
America ya kusini hakuna nchi kama Malta au San Marino, ndio maana hata GOAT kama Messi amestruggle kufikia hizo records.
Tofauti na international, Kwenye UCL amefanya vizuri sana, hasa kwenye KO stages.Sawa.
Ebu tugeukie magoli ya Champion League, wote na Messi wanacheza UCL. Ronaldo huwa anacheza na timu vibonde huko kama ilivyo kwa International?
Record kama hii speaks for itselfSawa.
Ebu tugeukie magoli ya Champion League, wote na Messi wanacheza UCL. Ronaldo huwa anacheza na timu vibonde huko kama ilivyo kwa International?
Weka record ya magoli ya Messi ya KO kwa UCL na International (Copa America/WC)
International, Messi ana magoli 79, amefunga magoli 6 kwenye hatua zote za mitoano za world cup na copa america.Weka record ya magoli ya Messi ya KO kwa UCL na International (Copa America/WC)
CR7 ni killer ndani ya box lakini Messi ana vitu vya ziada kama creativity/playmaking vinavyomfanya akubalike kama GOATUtopologist when Ronaldo is mentioned at opponent half know that goals are around the corner differ to Messi who gives you Creativity at final third rejea last match ile Pasi aliyotoa kwa Icardi pale angekua Ronaldo ange score mwenyewe