Cristiano Ronaldo’s international goals

Cristiano Ronaldo’s international goals

Chaos Master

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2021
Posts
636
Reaction score
1,310
Cristiano Ronaldo’s international goals: 👇

🇵🇹 Total: 111
🦶 Right foot: 58
🦶 Left foot: 25
😚 Head: 28
⚽ Inside box: 90
💥 Outside box: 21
☄️ Free-kicks: 10
✅ Penalties: 14
🎩 Hat-tricks: 9

#CristianoRonaldo now holds the record for:

◉ Most international goals (111)
◉ Most Champions League goals (134)
◉ Most goals scored all-time for Real Madrid (451)
◉ Most European Championship goals (14)

And plenty more.

Record breaker 🐐
 
Mess baba lao,uyo Ronaldo ana ballon d or ngap !?
RECORD! Cristiano Ronaldo joins Iker Casillas (177) as all-time leading appearance maker in the Champions League [emoji122]

[emoji637][emoji643][emoji643] Iker Casillas
[emoji637][emoji643][emoji643] Cristiano Ronaldo

#UCL

Usijali mkuu suala la muda tu ingawa umri umazidi kupaa
IMG_20210916_183044_280.jpg
 
Kwa nafasi yake na era yake, amefanya kila kitu kwenye career yake, anastahili pongezi na heshima kubwa.
 
Overrated and useless record

Katika hayo 111 amefunga matatu tu kwenye hatua zote za mitoano za euro na world cup

Magoli zaidi ya 90 kawafunga akina Malta, San Marino, Luxembourg, Andorra, Moldova na Lichtenstein
 
Hivi wachezi wengine hawajawahi kucheza na hizo timu? Kama wamewahi kwanini yeye tu ndio kaweza kufunga magoli mengi
Labda wachezaji wengine hawako obssessed kihivyo na individual records

Kuanzia 2004, amecheza euros 5 na world cup 4 lakini amefunga magoli matatu tu kwenye mechi zote za hatua ya mtoano, maana yake 95% ya magoli yake anawafunga vibonde kwenye qualifiers.

America ya kusini hakuna nchi kama Malta au San Marino, ndio maana hata GOAT kama Messi amestruggle kufikia hizo records.
 
Sawa.

Ebu tugeukie magoli ya Champion League, wote na Messi wanacheza UCL. Ronaldo huwa anacheza na timu vibonde huko kama ilivyo kwa International?
 
Weka record ya magoli ya Messi ya KO kwa UCL na International (Copa America/WC)
International, Messi ana magoli 79, amefunga magoli 6 kwenye hatua zote za mitoano za world cup na copa america.

Kwenye champions League yuko vizuri pia

2.-Lionel-Messis-Champions-League-Goals-By-Round_210310_221241.png
 
Utopologist when Ronaldo is mentioned at opponent half know that goals are around the corner differ to Messi who gives you Creativity at final third rejea last match ile Pasi aliyotoa kwa Icardi pale angekua Ronaldo ange score mwenyewe
 
CR7 ni killer ndani ya box lakini Messi ana vitu vya ziada kama creativity/playmaking vinavyomfanya akubalike kama GOAT
 
Back
Top Bottom