Vyombo vya habari vimetumika kumchafua kwa kuyapa uzito mambo hasi, lakini aliongea mengi ya msingi na ukweli.
Miongoni mwa mambo hayo ni:
~ Glazer hawajali timu.
~ Tangu Fergurson aondoke, hakuna maendeleo yoyote.
~ Tangu aondoke 2009 hadi aliporudi 2021 licha ya mabadiliko ya tekhnolojia, lakini miundombinu ya Man U haijabadilika n.k.
Nadhani ilikuwa sawa kuondoka katika timu kwa sababu ya umri umekwenda, lakini hakika kaondoka kishujaa mbele yetu sisi mashabiki wa Man U.