Yaani ume-meet vigezo vyote vya kumchukua huyo binti, madam dada yake ni rafiki yako mkubwa basi unaweza kumueleza juu ya pendo lako kwa mdogo wake ili akusaidie kumuondoa wasiwasi kwamba hamkuwa pamoja. Ila uwe na uhakika kuwa dada mtu hana kabisa wazo la kuwa na wewe, vinginevyo utaharibu kote..
Kama mama mtu anakupenda yaani una nafasi kubwa sana ya kukubalika kwake kama mkwe kwa sababu ameonesha kuwa na imani na wewe mpaka akafikia kukupenda kama mwanaye. Good luck
Kuna wakati nawaza kuachana na mpangö mzima but tunaweza tucwacliane hata kwa mwezi but tunajikuta tumeanza tena
Hahah..menifurahisha mkuu..pole sana, kama dada yake anajua ishu zako za vimwana huwezi kumpata huyo binti, ila kama upo shwari hapo umejitwalia kabint kiulaiini

Jamani eeh kuna kibinti NAKIPENDA sana na kwangu kina sifa za kuwa mke bora kabisa. Sasa tabu ni kwamba

1. Kuna wakati nlikuwa karibu sana na dada yake so anahisi nlimdate dada yake na sasa nataka kumdate yeye pia [ukweli tulikuwa marafiki tu na hatukufikia ku-date]

2. Mama yake ananipenda sana na ananichukulia kama mwanae [mpaka wakati mwingine najiuliza kama kum date mwanae ni sawa]

Dah msaada jamani nifanye nn coz najua hiki kibinti kinanipenda pia ila tu kinaogopa zogo na dada yake