EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,100
Jamani eeh kuna kibinti NAKIPENDA sana na kwangu kina sifa za kuwa mke bora kabisa. Sasa tabu ni kwamba
1. Kuna wakati nlikuwa karibu sana na dada yake so anahisi nlimdate dada yake na sasa nataka kumdate yeye pia [ukweli tulikuwa marafiki tu na hatukufikia ku-date]
2. Mama yake ananipenda sana na ananichukulia kama mwanae [mpaka wakati mwingine najiuliza kama kum date mwanae ni sawa]
Dah msaada jamani nifanye nn coz najua hiki kibinti kinanipenda pia ila tu kinaogopa zogo na dada yake