Crown au brevis

Crown au brevis

KAMA Una Shida Ya Pesa Ya Kununua Mafuta Nakushauri Nunua Boxer Au Kama Vipi Nunua Ki paso Au Ka Ist
Crown ina ulaji mzuri wa mafuta kuliko Brevis na zina ukubwa wa injin zenye cc sawa. Boxer haina ukubwa wa injin sawa na ist na ist haina ukubwa wa injin sawa na Crown. Suala si shida ya pesa ya kununua mafuta bali ubora wa injini katika matumizi ya mafuta ukilinganisha na injini inayofanana.
 
Crown zimeshakuwa nyingi mno huku mjini, mpaka gigy money anayo... Kama upo tayari kufunga ndoa na Sheli Bora uchukue mnyama brevis.....

Kwahiyo zikiwa nyingi?[emoji28]

Unanunua kulingana na mahitaji au kufurahisha watu

Sikiza wew
Comfortability+luxurious na performance unayoipata kene crown ukiitaka kene Mercedes/BMW/VW jipange kuanzia 35+ huko

Achana na krauni mzee acha ziwe nyingi siku ukipanda utaelewa kwanini cerebraties wetu wengi wanacrown
 
Naijua hiyo gari mzee nimeitumia Sana, nikaja kuiuza baada ya kuona kila mtu anayo, mi huwa napenda Sana uniqueness.....
 
Back
Top Bottom