Crown au brevis

Crown au brevis

Hio gari sio Unique. Ukitaka Uniquness ununue gari ambazo atleast hazifiki 50 Tanzania nzima. Likes za Rolls Royce, Bentley, Lamborghini, Aston Martin, Lincolin, Jaguar, Volvo.
Mkuu labda kwa dar es Salam ndio sio unique, ila kwa huku kwetu njombe[emoji16] hiyo gari ni very unique.....ukishuka watu lazima wakuangalie Mara mbili mbili,
 
Kwa sisi wanyonge mark x ni unyamwezi mwingi mno [emoji91]
Picha ka kusindikizia uzii
images%20(7).jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uniqueness labda ununue Bentley,lkn hizi entry level BMW,Benz,Audi ziko Kama zote.Hakuna uniqueness yoyote hapo 😄
Akitaka Uniqueness anunue Cherysler au Dodge. Hawa ni ndugu zake na Jeep na wanashare sana spare parts za engine na gearbox.

1200px-Chrysler-300C.jpg


Hii Cherysler Cc

Huko Bentley wakulungwa wamekaa kwenye kona wanasubiri kugonga nyundo ya Kodi.
 
Crown kamzidi mark x kwa margin ndogo sana....mark x ana unyama likely closely kwa crown sema haimbwi sanaa....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mark X zipo kimya japo ziliwahi kuwa na kelele. Zinafuata nyayo za Mark 2 gx 115. Gari flani hivi ambayo ilivuma halafu ikawa kimya kama haipo ila thamani ikaendelea kuwa juu.

Tatizo la gari likiwa na kelele sana esp kutoka kwa vijana wa makamo au wasanii linapoteza aina fulani ya watumiaji. Lile rika la watu wazima wenye majukumu ya kicorporate. Inakuwa kama alteza au Subaru matoleo ya kwanza. Watumiaji wake wanakuwa ni watu wa kuwaza speed, kuosheana barabarani n.k
 
Akitaka Uniqueness anunue Cherysler au Dodge. Hawa ni ndugu zake na Jeep na wanashare sana spare parts za engine na gearbox.

View attachment 2606884

Hii Cherysler Cc

Huko Bentley wakulungwa wamekaa kwenye kona wanasubiri kugonga nyundo ya Kodi.
Tena apate cherysler 300c yenye hemi engine,hapo saluti nyingi sana kwake.
 
Back
Top Bottom