Habari za humu wataalam nataka kununua gari ndogo ya kutembelea toka kazini na kurudi nyumbani naomba ushauri ninunue gari ipi kati ya hizo mbili nakaa umbali wa km27 had kufika kazini
Crown Kwa sababu brevis ni chuma ya safari ndefuHabari za humu wataalam nataka kununua gari ndogo ya kutembelea toka kazini na kurudi nyumbani naomba ushauri ninunue gari ipi kati ya hizo mbili nakaa umbali wa km27 had kufika kazini
KAMA Una Shida Ya Pesa Ya Kununua Mafuta Nakushauri Nunua Boxer Au Kama Vipi Nunua Ki paso Au Ka IstCrown. Ina ulaji mzuri wa mafuta.
Crown ina ulaji mzuri wa mafuta kuliko Brevis na zina ukubwa wa injin zenye cc sawa. Boxer haina ukubwa wa injin sawa na ist na ist haina ukubwa wa injin sawa na Crown. Suala si shida ya pesa ya kununua mafuta bali ubora wa injini katika matumizi ya mafuta ukilinganisha na injini inayofanana.KAMA Una Shida Ya Pesa Ya Kununua Mafuta Nakushauri Nunua Boxer Au Kama Vipi Nunua Ki paso Au Ka Ist
Crown zimeshakuwa nyingi mno huku mjini, mpaka gigy money anayo... Kama upo tayari kufunga ndoa na Sheli Bora uchukue mnyama brevis.....
Naijua hiyo gari mzee nimeitumia Sana, nikaja kuiuza baada ya kuona kila mtu anayo, mi huwa napenda Sana uniqueness.....Kwahiyo zikiwa nyingi?[emoji28]
Unanunua kulingana na mahitaji au kufurahisha watu
Sikiza wew
Comfortability+luxurious na performance unayoipata kene crown ukiitaka kene Mercedes/BMW/VW jipange kuanzia 35+ huko
Achana na krauni mzee acha ziwe nyingi siku ukipanda utaelewa kwanini cerebraties wetu wengi wanacrown
Unajishtukia tu. Kwa Bongo ukitaka kuwa Unique labda ununue Lamborghini. Lakini magari yote watu wanayo.Naijua hiyo gari mzee nimeitumia Sana, nikaja kuiuza baada ya kuona kila mtu anayo, mi huwa napenda Sana uniqueness.....
Premio haikupi comfort level ya crown au Brevis...Mkuu sibora ununue premio ndo wanasemaga new model ile kidogo inawasifu mzuri kwenye swala la mafuta ila anyway go for crown
Dah leo umesifia Toyota naonaPremio haikupi comfort level ya crown au Brevis...
Toyota kali zipo mkuu.Dah leo umesifia Toyota naona
Mzee wa german car leo naona umeikubali crown kuna siku nitakuja kwako kutaka ushauri kwenye hizo german car yenye low running cost pamoja na ubora wa engine kwa saloon carPremio haikupi comfort level ya crown au Brevis...