Zee la hovyo
Senior Member
- Apr 25, 2023
- 115
- 386
Mkuu labda kwa dar es Salam ndio sio unique, ila kwa huku kwetu njombe[emoji16] hiyo gari ni very unique.....ukishuka watu lazima wakuangalie Mara mbili mbili,Hio gari sio Unique. Ukitaka Uniquness ununue gari ambazo atleast hazifiki 50 Tanzania nzima. Likes za Rolls Royce, Bentley, Lamborghini, Aston Martin, Lincolin, Jaguar, Volvo.
Hainikeri boss! Nilikuwa tu namfafanulia Mzee Kigogo statement ya wa kupuliza..Ukiona inakukera si unaondoa limiter inaenda mpaka 260 kph
Kumbe uko kijijini hukoMkuu labda kwa dar es Salam ndio sio unique, ila kwa huku kwetu njombe[emoji16] hiyo gari ni very unique.....ukishuka watu lazima wakuangalie Mara mbili mbili,
Mtaalamu soon nitakucheki nipate Brevis moja matata hasa lile la cc 3000Premio haikupi comfort level ya crown au Brevis...
Ndio mkuu..... hata hizo crown zilizojazana huko town huku zipo za kuhesabia tu, huku watu wanatembelea Carina na Corolla na gx 100[emoji16]Kumbe uko kijijini huko
Atakalia mwamba😅😅N
Nunua. JAGUAR XF kama unapenda Uniquness
Unanitamanisha nirudi kununua Jaguar hapo mbeleniHio gari sio Unique. Ukitaka Uniquness ununue gari ambazo atleast hazifiki 50 Tanzania nzima. Likes za Rolls Royce, Bentley, Lamborghini, Aston Martin, Lincolin, Jaguar, Volvo.
mkuu unamiliki Sheli nini[emoji3]Mtaalamu soon nitakucheki nipate Brevis moja matata hasa lile la cc 3000
Crown kamzidi mark x kwa margin ndogo sana....mark x ana unyama likely closely kwa crown sema haimbwi sanaa....Mark X imetamba sana kwa wakati wake ila taji liko kwa Crown kwa sasa. Hana mpinzani kwenye segment
Hahahah ile umemeMtaalamu soon nitakucheki nipate Brevis moja matata hasa lile la cc 3000
Kwa sisi wanyonge mark x ni unyamwezi mwingi mno 🔥Hii ni chuma na nusu sema raia hawaielewi tu
Picha ka kusindikizia uziiKwa sisi wanyonge mark x ni unyamwezi mwingi mno [emoji91]
Hii chuma ni 🔥
Hawa si wanahitaji kukalia kigogo kwa nyuma🤣Atakalia mwamba😅😅
Mark X naikubali styling yake. Iko sporty kuliko Crown.Kwa sisi wanyonge mark x ni unyamwezi mwingi mno 🔥
Kila la heri mkuu, Machuma yenye maengine makubwa hata mimi nayaelewa sana.Mtaalamu soon nitakucheki nipate Brevis moja matata hasa lile la cc 3000
Ukipata Mark X sport au ukasogea miaka ya mbele ukapata Mark X Premium achana na Crown.Crown kamzidi mark x kwa margin ndogo sana....mark x ana unyama likely closely kwa crown sema haimbwi sanaa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Akitaka Uniqueness anunue Cherysler au Dodge. Hawa ni ndugu zake na Jeep na wanashare sana spare parts za engine na gearbox.Uniqueness labda ununue Bentley,lkn hizi entry level BMW,Benz,Audi ziko Kama zote.Hakuna uniqueness yoyote hapo 😄
Mark X zipo kimya japo ziliwahi kuwa na kelele. Zinafuata nyayo za Mark 2 gx 115. Gari flani hivi ambayo ilivuma halafu ikawa kimya kama haipo ila thamani ikaendelea kuwa juu.Crown kamzidi mark x kwa margin ndogo sana....mark x ana unyama likely closely kwa crown sema haimbwi sanaa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena apate cherysler 300c yenye hemi engine,hapo saluti nyingi sana kwake.Akitaka Uniqueness anunue Cherysler au Dodge. Hawa ni ndugu zake na Jeep na wanashare sana spare parts za engine na gearbox.
View attachment 2606884
Hii Cherysler Cc
Huko Bentley wakulungwa wamekaa kwenye kona wanasubiri kugonga nyundo ya Kodi.