Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,734 Reaction score 140,476 Jan 27, 2026 #1 View: https://www.youtube.com/watch?v=jfQlh6d74a0 Katika taarifa yao wameonyesha Chadema wapo tayari kukaa mezani. Lakini katika majibu yake Lyenda ameeleza vizuri kabisa msimamo wa Chadema. Ila huyu jamaa Lyenda ni kichwa sana, sijui Chadema wanatoa wapi hawa watu
View: https://www.youtube.com/watch?v=jfQlh6d74a0 Katika taarifa yao wameonyesha Chadema wapo tayari kukaa mezani. Lakini katika majibu yake Lyenda ameeleza vizuri kabisa msimamo wa Chadema. Ila huyu jamaa Lyenda ni kichwa sana, sijui Chadema wanatoa wapi hawa watu