Burure
Member
- Jul 25, 2024
- 42
- 96
Hii media ilivyoanzishwa tuliona kama ni mkombozi kwenye Tasnia hii kwa kutoa habari za ukweli na uhakika lakini ghafla imekuwa ndivyo sivyo...
Toka imeingia ubia na AZAM MEDIA imebadilika sana maana tangu walivyoreport tukio la MAANDAMANO ya CDM imepoa sana...
Wamepunguza kureport Taarifa za kisiasa na majadiliano yenye tija kwenye jamii na wamekuwa kama media nyingine ni UMBEA na MICHEZO
Tatizo litakuwa ni nini haswa?