100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Kwa mara kama ya tatu nimeendesha crown athlete but this time nimekwenda umbali, model yr 2009, nimetoka nayo Mwanza nikaingia Mara (Sirari) nikavuka boda nikaingia Kenya kwa jamaa yangu, tukaingia sehemu inaitwa Migori almost km 17-18 kutoka hapo boda, ndio mara yangu ya kwanza kuingia Kenya, sheria zao walivyonambia sipaswi kwenda zaidi ya km 20 ndani na nilikuwa naelekea Migori, pia sheria kwa sasa huko saa 1 jioni watu wawe nyumbani, so niliingia fasta nikarudi fasta.
Kikubwa ni juu ya uwezo wa hii gari, Crown hazikupaswa kuwa limited 180km/hr, hii gari ina nguvu sana na ina changanya haraka, ipo very comfortable barabarani, Crown imepunjwa kabisa kuwa na 180km/hr kwa sababu ukiwa unakanyaga mafuta unahisi kama inakuuliza "Show me what you got" basi hapo utakanyaga kibati mpaka 180km/hr halafu unahisi bado inakuuliza "Is that what you got"?.
Hili gari naamini kabisa wale jamaa wanao hack gari, wanaweza itune ikapiga 260km/hr na ikawa comfortable kabisa, kwa kweli sikuwahi kuwa makini kuhusu hili gari, ila baada ya hii safari nikasema hapo Toyota nawasifu kwa kutengeneza mashine kama hio lakini nawalaumu kwa nini wame limit 180km/hr.
Bmw yenyewe hizi 3 series kuitafuta 200 huwa zinahangaika kupanda, lakini mwisho wa siku germany engineering speaks for itself.
Thanks...