Crown series hazijatendewa haki.

Crown series hazijatendewa haki.

100 others

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
4,766
Reaction score
16,191
Kwa mara kama ya tatu nimeendesha crown athlete but this time nimekwenda umbali, model yr 2009, nimetoka nayo Mwanza nikaingia Mara (Sirari) nikavuka boda nikaingia Kenya kwa jamaa yangu, tukaingia sehemu inaitwa Migori almost km 17-18 kutoka hapo boda, ndio mara yangu ya kwanza kuingia Kenya, sheria zao walivyonambia sipaswi kwenda zaidi ya km 20 ndani na nilikuwa naelekea Migori, pia sheria kwa sasa huko saa 1 jioni watu wawe nyumbani, so niliingia fasta nikarudi fasta.

Kikubwa ni juu ya uwezo wa hii gari, Crown hazikupaswa kuwa limited 180km/hr, hii gari ina nguvu sana na ina changanya haraka, ipo very comfortable barabarani, Crown imepunjwa kabisa kuwa na 180km/hr kwa sababu ukiwa unakanyaga mafuta unahisi kama inakuuliza "Show me what you got" basi hapo utakanyaga kibati mpaka 180km/hr halafu unahisi bado inakuuliza "Is that what you got"?.
Hili gari naamini kabisa wale jamaa wanao hack gari, wanaweza itune ikapiga 260km/hr na ikawa comfortable kabisa, kwa kweli sikuwahi kuwa makini kuhusu hili gari, ila baada ya hii safari nikasema hapo Toyota nawasifu kwa kutengeneza mashine kama hio lakini nawalaumu kwa nini wame limit 180km/hr.

Bmw yenyewe hizi 3 series kuitafuta 200 huwa zinahangaika kupanda, lakini mwisho wa siku germany engineering speaks for itself.
Thanks...
 
Tunajua mwendokasi unaua kwa hio wale wazee wa ushauri hapa sio mahali penu, walioweka 180km/hr sio wajinga, ajali hata kitandani inatokea. Thanks
Ila kwa mtu aliyewahi kupata ajali anaweza kuelewa nini maana ya kuheshimu 'mwendo',Ila kwa ambao bado wanahadithiwa khs ajali waendelee kulipambania kombe.
 
Mkuu nishawahi kula mizinga mara 2, mara ya kwanza nilikuwa natoka kutazama mechi ya Man city na Man U kwenye hoteli moja kubwa 2020 ilikuwa kama sikosei 26 january, nilikuwa nipo 120km/hr sijui niliwaza nini nikapiga kona asee, ile gari mpaka leo ni box, yaani radiator ilipasuka, ball joint zikakaa kushoto na kulia, gari ilikuwa haitamaniki, tairi zikapasuka, nikagonga escudo moja ubavuni, nilichoibiwa ni charger ya simu baada ya watu kuisukuma ile gari.

Mara ya pili niliingia kwenye mzinga wa shimo, nilikuwa natoka kwa kamanzi fulani mida ya night, kama kawaida nilikuwa nimesimamia, niliingia shimoni nikatoka na mzinga wa nundu, gari haikuharibika sana ilitolewa na break down...

Mungu anatupenda sote kikubwa tuheshimu vyombo vya moto na kufuata sheria, hata sasa huwa nipo makini sana road, naomba mijadala kama hii isizingatiwe kwa kujaribu ...... Thanks
'nilikuwa nipo 120km/hr sijui niliwaza nini nikapiga kona asee,'.

Hahah nimecheka kishenzi,pole mkuu.
 
Sikia nilikuwa nauliza ushapata ile kazi ya ulinzi uliyokuwa natafuta..... 🙂
Unachekesha sana, kwenu penyewe maisha magumu bado unakomaa kujifanya umemaliza au ndio unamalizia stress zako hapa jukwaani
Nimeona post yako moja unaulizia nafasi ya kazi za ulinzi, anyway ulishapata? kwa jinsi ulivyo andika ni kama ulikuwa hutaki kusema ni wewe unaihitaji lakini kwa sisi wataalamu wamambo tunajua tu... huwezi mtafutia mtu kazi ukataja exactly na kimo mi mwenyewe sijui kimo cha ndugu yangu yeyote hata ukiniuliza labda kwa makadirio, ila mwamba nataja mpaka point yaani 5.4 duh!!!!! asee nimecheka kweli.....
Fanya hii nipe dada yako tu....kwenu shida zote zinaisha... we masikini huna cha kunambia, na ukitaka ligi hapa ndio mahala pake...we chawa tu...
Kwa mshahara wa mlinzi mi nakumudu... nakulipa hata x2 yake ni pm mkuu ntakupa kazi yeyote....hahahahaaa....haaahahahaaaa nime attach maombi yako ya kazi ya ulinzi...
Sawa mchichapori a.k.a mchelemchele najua nimekugusa ikulu leo, me hata hiyo kazi ya ulinzi sina yaani nakula kulala tu kwa shem wangu kama wewe tu sema we umenizidi umepewa na crown la shemeji yako sasa sijui umempa kwa mpalange au vipi.
 
Sikia nilikuwa nauliza ushapata ile kazi ya ulinzi uliyokuwa natafuta..... 🙂
Unachekesha sana, kwenu penyewe maisha magumu bado unakomaa kujifanya umemaliza au ndio unamalizia stress zako hapa jukwaani
Nimeona post yako moja unaulizia nafasi ya kazi za ulinzi, anyway ulishapata? kwa jinsi ulivyo andika ni kama ulikuwa hutaki kusema ni wewe unaihitaji lakini kwa sisi wataalamu wamambo tunajua tu... huwezi mtafutia mtu kazi ukataja exactly na kimo mi mwenyewe sijui kimo cha ndugu yangu yeyote hata ukiniuliza labda kwa makadirio, ila mwamba nataja mpaka point yaani 5.4 duh!!!!! asee nimecheka kweli.....
Fanya hii nipe dada yako tu....kwenu shida zote zinaisha... we masikini huna cha kunambia, na ukitaka ligi hapa ndio mahala pake...we chawa tu...
Kwa mshahara wa mlinzi mi nakumudu... nakulipa hata x2 yake ni pm mkuu ntakupa kazi yeyote....hahahahaaa....haaahahahaaaa nime attach maombi yako ya kazi ya ulinzi...
Mkuu maisha yanabadilika utashangaa huyo unasema mlinzi siku anakupita ba Ranger ya 2020 ukihangaika na Crown yako kuipata 180...
 
Mkuu nishawahi kula mizinga mara 2, mara ya kwanza nilikuwa natoka kutazama mechi ya Man city na Man U kwenye hoteli moja kubwa 2020 ilikuwa kama sikosei 26 january, nilikuwa nipo 120km/hr sijui niliwaza nini nikapiga kona asee, ile gari mpaka leo ni box, yaani radiator ilipasuka, ball joint zikakaa kushoto na kulia, gari ilikuwa haitamaniki, tairi zikapasuka, nikagonga escudo moja ubavuni, nilichoibiwa ni charger ya simu baada ya watu kuisukuma ile gari.

Mara ya pili niliingia kwenye mzinga wa shimo, nilikuwa natoka kwa kamanzi fulani mida ya night, kama kawaida nilikuwa nimesimamia, niliingia shimoni nikatoka na mzinga wa nundu, gari haikuharibika sana ilitolewa na break down...

Mungu anatupenda sote kikubwa tuheshimu vyombo vya moto na kufuata sheria, hata sasa huwa nipo makini sana road, naomba mijadala kama hii isizingatiwe kwa kujaribu ...... Thanks
Mpuuzi wewe
 
Hujawai pata ajali mpaka hapo maana hapo sijaona cha kukutisha
 
Back
Top Bottom