lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Huyo akili zake ni Kama lile chizi ambalo limejiua Jana sinza na BastolaHuyo sio mzima mkuu comments zake tu zinaonesha hayuko sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo akili zake ni Kama lile chizi ambalo limejiua Jana sinza na BastolaHuyo sio mzima mkuu comments zake tu zinaonesha hayuko sawa.
🤣🤣🤣🤣Huyo akili zake ni Kama lile chizi ambalo limejiua Jana sinza na Bastola
Mkuu nishawahi kula mizinga mara 2, mara ya kwanza nilikuwa natoka kutazama mechi ya Man city na Man U kwenye hoteli moja kubwa 2020 ilikuwa kama sikosei 26 january, nilikuwa nipo 120km/hr sijui niliwaza nini nikapiga kona asee, ile gari mpaka leo ni box, yaani radiator ilipasuka, ball joint zikakaa kushoto na kulia, gari ilikuwa haitamaniki, tairi zikapasuka, nikagonga escudo moja ubavuni, nilichoibiwa ni charger ya simu baada ya watu kuisukuma ile gari.
Mara ya pili niliingia kwenye mzinga wa shimo, nilikuwa natoka kwa kamanzi fulani mida ya night, kama kawaida nilikuwa nimesimamia, niliingia shimoni nikatoka na mzinga wa nundu, gari haikuharibika sana ilitolewa na break down...
Mungu anatupenda sote kikubwa tuheshimu vyombo vya moto na kufuata sheria, hata sasa huwa nipo makini sana road, naomba mijadala kama hii isizingatiwe kwa kujaribu ...... Thanks
Mkuu kuna watu wana dharau sana asee, nimeandika uzi wangu vizuri tu jamaa anakuja from no where ananiita mi ms*nge, just imaGINE, sijamkosea chochote, kama uzi hajaupenda si lazima achangie....fuatilia vizuri ujue nani anaanza kumtusi mwenzie....sipendi na sina tabia za kuwa dis respect watu...ila huyu jamaa sijui anatokea kwenye familia ina malezi gani...atakuwa choko wa mtaani tu...huwezi mtukana mtu for no reason....Mkuu maisha yanabadilika utashangaa huyo unasema mlinzi siku anakupita ba Ranger ya 2020 ukihangaika na Crown yako kuipata 180...
Nitolee uchawa ... huna heshima na nidhamu kila mtu humu unaona ni mlinzi kama wewe... Bro natengeneza six figures per month... nakumudu wew na familia yenu yote naona watakua wanakutegemea... mi nawafuga nimekwambia ni pm kama una shida ya kazi...Sawa mchichapori a.k.a mchelemchele najua nimekugusa ikulu leo, me hata hiyo kazi ya ulinzi sina yaani nakula kulala tu kwa shem wangu kama wewe tu sema we umenizidi umepewa na crown la shemeji yako sasa sijui umempa kwa mpalange au vipi.
Nilijua tu nikasema utapakwa mafuta... kumbe ulishawahi hata kufumwa wakataka kukupaka mafuta... aseee... endelea na wake za watu.. kijana utakufa kifo kibaya...Huyo sio mzima mkuu comments zake tu zinaonesha hayuko sawa.
Hapana that time sikuwa na crown...nilikuwa na hii gari inaitwa Nadia, mzinga wa pili nilikuwa na Rav4 killtime... from there huwa nipo makini road....ila gari ikiwa chini ndio nzuri hata aerodynamic yake inakuwa poa sana na centre of gravity inakuwa low... so inaipa uwezo mkubwa wa kutembea kwa kasi... huwa wanakosea kuzipandisha hizi athlete..Kuna ujanja wa kuziwekea adjustable shock up tena heavy duty ...120 unalala nayo kiroohoo safiiii
Ngoja waje.....ila utani pembeni Crown inakata 180kph kama utani! mchichapori engine peke yake si kigezo cha gari kuachiwa izidi 180kph. Kama umeendesha gari nyingine kama BWM au MB utajua kwanini imezuiwa hapo inapofika.Hizo takataka za Kijapani ndio maana zinawamaliza maana sana sio salama na tena hiyo 180km/h imewekwa kimakosa mwisho ilitakiwa iwe 80km/h kwa usalama wenu.
Ni muda sasa wa kuachana na takataka za TOYOTA atleast mnunue BMW kama bado mnaogopa Mercedes.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Ila kuanzia 130 ikitokea kitu cha dharura ukiweka mguu kati kimuhemko tunakuzika,crown mfumo break ukiwa kwenye mwendo ukikanyaga break inabidukaIs that what you got?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema crown kwa toyota gar za chini hujakosea kibaki huwa kinadai haswa
Exactly mkuu... acceleration yake si ya kitoto... kuna gari zipo above 180km/h ila haziku deserve kabisa... mfano bmw 320i haikupaswa kuzidi 180km/h.Ngoja waje.....ila utani pembeni Crown inakata 180kph kama utani! mchichapori engine peke yake si kigezo cha gari kuachiwa izidi 180kph. Kama umeendesha gari nyingine kama BWM au MB utajua kwanini imezuiwa hapo inapofika.
Japanese Automobile Manufacturer's Association (JAMA) mkuu.Hii agreenment waliweka na nani?
Inabidukaje?Ila kuanzia 130 ikitokea kitu cha dharura ukiweka mguu kati kimuhemko tunakuzika,crown mfumo break ukiwa kwenye mwendo ukikanyaga break inabiduka
Hizo zimeruhusiwa kufika huko kwasababu ya uwezo wake wa kuhimili huo mwendo. Ukiwa 180kph na BMW sio sawa na ukiwa 180kph kwenye Crown.Exactly mkuu... acceleration yake si ya kitoto... kuna gari zipo above 180km/h ila haziku deserve kabisa... mfano bmw 320i haikupaswa kuzidi 180km/h.
Haiwezi kubiduka ila utakanyaga breki gari bado inaenda tu utajijua mwenyewe.Ila kuanzia 130 ikitokea kitu cha dharura ukiweka mguu kati kimuhemko tunakuzika,crown mfumo break ukiwa kwenye mwendo ukikanyaga break inabiduka
Hahahah mpaka ukumbuke kutoa mguu na kukanyaga tena (pump) ndo inaanza kunasa. Na hapo hakuna shida yoyote kwenye braking system. Pakiwa na shida je?Haiwezi kubiduka ila utakanyaga breki gari bado inaenda tu utajijua mwenyewe.
Broke My Wallet ipo comfort sana barabarani, ila kwa hizi 320i 4 cylndr baada ya 180 acceleration ni kama unasikia kifurushi 6 gb halafu 2gb za mwanzo unatembea na 5mb/sec zikiisha 4gb unapewa 200kb/sec... japo nakiri kwa kung'ata barabara bmw ni ny*k*.Hizo zimeruhusiwa kufika huko kwasababu ya uwezo wake wa kuhimili huo mwendo. Ukiwa 180kph na BMW sio sawa na ukiwa 180kph kwenye Crown.
BMW na wenzie kama huangalii speedometer unaweza kujikuta uko 200kph ukidhani uko 80kph.
MnyamaAcheni tu watulimit 180kmph....
Engine yake sawa inaweza kuvuka bila shida ila components nyingine za gari kuhandle mwendo mrefu zikoje? Tyres zina temperature na traction na speed rating inayotakiwa? Suspension kwa ajili ya kona za ghafla? Brakes kwa ajili ya emergencies? Ushawahi kukanyaga breki ya mjapani at 180kmph? Usiwaze sana 0 - 180, waza pia 180 - 0.
View attachment 1859538
Naongea from experience, engine nnayotumia ina power kubwa sana hata crown hazifiki. 30 seconds ishapiga limiter.