Wambea tupo tunaangalia nani na nani wanavizianaFor real asee
Imagine mtu unamcrush jinsia yako
Mfano nikamcrush braza mwenzangu Evelyn Salt π€¦ββοΈ
πππnisije vamiwq bureNdio babe sio mpka wawe wa penzi huoni mi nina list yanguπ
Sawa sawaJf sio sehem ya kuwa serious
Hiki ni kijiwe tu cha kutoa stress ππ
Sio ukorofi huo babe π πhapo kwangu umensingizia kabisaa mi sio timu korofi jamni ππππ
Hahahaha,kama utani kumbe...MTU anakuvizia kweliWambea tupo tunaangalia nani na nani wanaviziana
Una msaidia kuchunga mali yake , wanaita mshika mapembeπWatu wabaya sanaπ€£π€£
Work out dearπππnisije vamiwq bure
Ktk ubora wakoπ π πWambea tupo tunaangalia nani na nani wanaviziana
Babuuππβ€οΈβ€οΈNashukuru hata mjukuu wangu ShesRise_1 kani-crush , maana unaweza kuta uzi una page 200 hakuna hata mmoja wa kuku-crush.
Asante mjukuu, kikao bila wazee ni batili kabisa.β€οΈ
ππhakuna wa kunifqnya chochote....Work out dear
Aaah Sio yeye! Crush wangu sijui kapotelea wapi nina miezi sijamuonaπ₯²Crushie wako The Icebreaker mshahamia PM? ππ€£
π hatari sanaHahahaha, Michezo ya humu naijua
Utafanyaje nakujua mpoleeπππhakuna wa kunifqnya chochote....
Hawataamini watakachokutqnq nacho
ila ni ukorofi upi sweetππSio ukorofi huo babe π π
Enzi hizo JF Ile , niliwahi kujifanyia crush wa mtu, kumbe bana niliingia Mitaa ya MTU, nilipata tabu sanaπ hatari sana
pole sana dogoπKwenye nyuzi kama hizi wengine tunaishia kuumia tu...
Ngoja tuone.
Wala na utu uzima huu ...sina energy hiyo labda mtu a-cross line....πππUtafanyaje nakujua mpoleeπ